Search results

  1. K

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    huyu sio yule zitto wa zamani,no one is not after money,wametajwa wachache sana atlist lingetajwa bunge zima.
  2. K

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    kama unaamini wewe ni mwema then silent is the best weapon,talking to public means you have fear inside you and your worried what others think about you.itaonekana unajisafisha.
  3. K

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    amna chanzo kingine cha information zaidi ya media,all tanzanians depend on media in geting information.serikali angalieni pande zote
  4. K

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    lengo kuu hapo ni uraisi tu, mengine yote ni siasa
  5. K

    Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

    halafu watu tumekuwa tukitoa maoni mengi ila maoni yetu hayawi implemented na serikali its like tunajifurahisha kuongea and actions are not there at all.
  6. K

    Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

    kwakweli kikwete anapewa kazi nzito na kuonekana sio mtenda mema kwasababu ya watendaji wake wanamuangusha sanaa
  7. K

    ubabe mzuri sometimez

    ubabe unasaidiaga saa nyingine,unajiona unaonenewa lakini mwisho wa siku maendeleo yanaonekana,tatizo wabongo hatuwezi kuwa na uongozi wa kibabe kwani tunaoneana huruma na aibu sana
Back
Top Bottom