Search results

  1. sonashi

    Kujiunga Chuo baada ya kumaliza Kidato cha Nne

    Naomba ufafanuzi kwa anayejua, nimelipia ada ya chuo kikuu baada ya muda tukapata mkopo wa elimu je ile ada yangu nitarudishiwa au itapotelea huko ?
  2. sonashi

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hivi ukiwa umelipia ada ya chuo kikuu mapema halafu ukapata bahati ya mkopo wa elimu ya juu, je ile ada nitarudishiwa?
  3. sonashi

    Kujiunga Chuo baada ya kumaliza Kidato cha Nne

    Kuna ndugu yangu kapata alama; Civ-E, Hist-D, Geo-D, Kisw-C, Engl-B, Phy-E, chem-D, Bio-C, Math-E. kozi gani inamfaa ambayo ipo hapa Dar ?
  4. sonashi

    Wajuzi msaada, aliyechora ramani ya dunia

    Wengine hatukuona majibu hayo !!
  5. sonashi

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Natafuta hiki kifaa haraka wapi naweza kukipata ?
  6. sonashi

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Natafuta kifaa hiki haraka kwa yeyote anayejua jinsi ya kukipata anisaidie
  7. sonashi

    Kufungua bwalo la Jeshi uraiani si sahihi

    Kweli kabisa, kuna vitengo vitakuwa havina umuhimu tena katika biashara hizi za vinywaji vikali na baridi. Mimi nafikiri hizi bei za vinywaji hivi ilikuwa ni maalumu kwa watu maalumu, na sehemu maalumu ambazo watu hao maalumu wanaishi ili kuwaburudisha kutokana na majukumu yao maalum.:msela:
  8. sonashi

    Kufungua bwalo la Jeshi uraiani si sahihi

    Mtoa mada frame vizuri statement yako maana ni kweli kabisa, Baada ya shughuli zangu za shamba wikiendi nataka kurudi nyumbani, shambaboy wangu kaniambia boss wakati wa kuondoka nikuoneshe sehemu ya bia ya bei chee, kweli tulifika hapo yaani hata viti tukakosa lakini maeneo yenyewe ni uswahilini...
  9. sonashi

    Msaada wa fundi wa magari aina ya NISSAN kutoka UK

    Tafadhali kwa mwanajamvi yeyote anayemfahamu fundi umeme wa magari aina ya NISSAN kutoka UK ani inbox namba zake tuongee naye.
  10. sonashi

    BASATA kumvua taji miss Tanzania 2014 kwa kudanganya umri

    Bibi Bomba amelikoroga lazima alinywe, bora alivue taji mapema kabla hajavuliwa huo ni ukweli!! na huyu Lundenga kila mara anatajwa kwa kashfa kwentye hii tasnia ya ulimbwende, kwani haiwezekani kuondolewa ? BASATA mnafanya nn ?
  11. sonashi

    Msaada juu ya kubadili Engine ya Hii Nissan

    Nashukuru mkuu namtafuta muda huu
  12. sonashi

    Msaada juu ya kubadili Engine ya Hii Nissan

    MV Mechanics ndani ya JF msaada wenu unahitajika sana sana
  13. sonashi

    Msaada juu ya kubadili Engine ya Hii Nissan

    Naomba msaada kwa wataalamu wa magari ili niweze kujua ni engine gani ya Toyota inafaa hapa baada ya hii nissan GA 16 ya ulaya kunisumbua sana naomba msaada wenu.
  14. sonashi

    Shamba linauzwa Kibaha (Jamiaka)

    Bei inaanzia na 25,000,000/= ukiwa serious tuongee kwenye simu.
  15. sonashi

    Shamba linauzwa Kibaha (Jamiaka)

    Shamba lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa, lipo barabara ya kwenda Nyumbu / Msangani lipo ndani ya miundombinu. kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba hii. +255 755 233 243
  16. sonashi

    Msaada wa smart card

    Naomba msaada kwa anayejua material za kutengeneza smart card maana nasikia zinapatikana hapa bongo
  17. sonashi

    Kiwanja kinauzwa Miembesaba Kibaha

    Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibaha inakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa, Kujenga yard ya kuuzia magari, Kujenga Hotel pia kujenga Kiwanda. Kiwanja kipo eneo la Miembesaba pembeni ya...
  18. sonashi

    Mke wangu billionaire

    Shule zimeshafunguliwa au bado ? tumechoshwa na watu wanaodanganya umri wao kuingia JF :A S angry:
Back
Top Bottom