Watanzania waone hivi hivi ila ni hatari hata zaidi ya watu wa burundi watakupiga na maneno utanyooka mwenyewe chezea tz awezi hata afanye nn awezi hizo ni ndoto
Bohari anajua shìda alizopata akiwa mpinzani na wa senagal hivyo hivyo kwa sababu walikuwa wapinzani katika hali ya kawaida mnadhani wangekubali barro asipewe madaraka yake tena ambayo yametokana na wananchi? Hilo lisinge tokea lazima wapinzani hawa waliopata madaraka kwa shida wangemsaidia...
Hii kesi lema na mke wake watashinda nalisema hapa hili leo mtarudi hapa hapa kusema kweli nilisema akuna hakimu atakaye toa hukumu kwa kesi kama hii ya kumfunga mtu.
Mungu ni mwema zidi ya uonevu
Saizi ukiingia playstore fake software ziko nyingi sana ambazo unaweza zitumia kutuma sms kwenda kwa mtu na akapokea ujumbe ukaonekana umetoka kwa mtu unaye mfahamu ziko nyingi sana kwa hiyo siwezi shangaa vodacom wakashindwa kuthibitisha hili mahakamani tena mimi niwashauri mawakili wa lema...
Hivi mnajua kipindi cha uchaguzi watu wako na uhuru mkubwa sana wa kuamua mambo yao na usicheze na watu ambao wakiamua basi atutaki kuonewa na kuporwa haki yetu hata hao wakurugenzi watatamani ardhi ipasuke waingie na katika hali ya kawaida hata awe kada wa ccm aliyebobea Matokeo atatangaza tu...
Mimi sijaelewa lengo ni nini juu ya lema nikumtesa au kesi yake aina dhamana? Au nikuwafanya wana arusha kuwa walikuwa na chaguo baya vipindi vyote walivyo mchagua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.