Hakuna msuluhishi mwenye nguvu zaidi ya wale wenye jeshi na linalowapa nguvu Jecha na genge lake kufanya wanayoyataka. Jecha ni nani hasa aweze kufanya alichokifanya kama si sababu ya jeshi na mkuu wake aliena bias latika maamuzi yalio na haki?
Kama wasuluhishi wangapi wamekuja na mbona...
Swahib kumbe umetufahamu.. Uzuri wa uchaguzi mkuu wa oct 2015 tumedhihirisha beyond any reasonable doubt kwamba wazanzibari walio wengi hawakubaliana na mengi yanayofanywa na zaidi wamefungwa mikono katika kufanya maamuzi. Mkoloni kwa sasa ni ccm na ni katili zaidi ya mkoloni aliepita, ma...
Tanzania tumekuwa na mizozo katika kila sehemu tunayokuwa nayo karibu, msururu wa migogoro unazidi kuongezeka, heshima baina yetu haipo na hata umoja tunaoupigia kelele na kuunadi kama ndio urithi wa Mwalimu haupo.
Ndani ya nchi hatutendeani haki, hatuheshimiani, wala hatuna ustaarabu wa...
Kwetu inawezekana
Moja kati ya hoja kubwa za sasa ni mfumo mzima wa serikali ya umoja iliopo hapa visiwani ambao kumekuwa na jitihada nyingi za kuufanya uonekane ukiwa haufai na wa kuondoshwa. Mifano mikubwa inayotolewa ni mfumo wa serikali ya Ujarumani ambayo kwa leo nimeona ipo haja ya...
Hahahaha kama kawaida controversy ya akili nyingi mantiki haipo. Bilioni 300 zinaibiwa na mahakimu kushiriki halafu katiba ivunjwe na mahakama kuingilia mamlaka yasio husu halafu still bado tukafungue kesi mahakamani kupinga order ya mahakama.
Wakujuzulu ni waliovunja katiba ya kuingilia...
Nafaidika sana na namna ya history unavyoiweka sawa.. Sijui umepata kulisikia hili jina la Said Soud , kule kwetu kaskazini Unguja akisifika sana na nafikiri ni royal family ya wakati ule au mmoja wa viongozi wa serikali kabla ya mapinduzi. Sifa zake inaonekana hazikuwa nzuri, lakini nimeshindwa...
Hasira zake kwa CUF kazigeuza kuwa sabotage kwa watu wa Wawi waliomchaguwa. Hatasahaulikankwa kuurejesha nyuma movement kubwa iliokuwa na nafasi nzuri ya muungano safi wenye maridhiano makubwa. Hamad Rashid, 2015 haiko mbali. Lura zako zinahesabika si zaidi ya ishirini.
Tanzania kwa sasa imemeguka. Inahitaji serikali ya pamoja kama mpito wa kuelekea 2020 ambapo uchaguzi hasa wa sera utafanyika baada ya kuing'oa madarakani chama kilichokewa sifa na kusahau uadilifu na haki katika uongozi.
wapo wasafi wenye uwezo wa uongozi na kuchangia umoja na msukumo mpya wa...
Heshima gani hizi za kuwatukuuza wachache .. Ni ukoloni mambo leo, waafrika wachache kubeba utukufu wa kunyenyekewa na waafrika wanyonge.. Hii si heshima ni udhalilishaji
Sijashangaa na majibu ya kikwete.. Ni yale yale yaliojaa vijembe badala ya facts za uhakika za kuwajibu wananchi. Hakuna refu lisilo na mwisho, narudia tena adui wa muungano si wazanzibari wala tanganyika, ni sumu inayomwagwa na ccm kuhakikisha mfarakano baina yetu ili kututoa katika mada na...
Kwa utajiri gain hata mununue kisiwa . Mungeanza at least kuhakikisha umaskini unapungua kwa population inayoishi kwa less than a dollar a day, mukahakikisha elimu kwa wote, afya, maji, umeme na huduma za msingi kwa wananchi bear in mind ni nchi miongoni mwa masikini duniani.. Mungelianza at...
hahahaha watashindwa kura ya wazi kwenye vyama vyao seuze uchaguzi mkuu, ukiona ccm kashikilia uwazi uje ana lake jambo. hoja ya kura za wazi zingeanzwa kwao ndani ya uchaguzi wa vyama vyao..
Upigaji wa kura wa siri ndio suluhisho pekee litakalowapa uhuru wajumbe kufanya maamuzi bila ya shinikizo au vitisho. Khofu hasa ya nini kushinikiza watu kupiga kura kwa uwazi huku tayari mushaweka vitisho vya kuwafukuza, na kuwa brand wasaliti? Hivi tumeamua kubadili katiba ili kunyosheana...
cha kushangaza Mhe Pinda huyu huyu even baada ya kupigwa vijembe kwa kauli yake bado hajalearn kwamba mfumo wa mbili haukubaliki. Sijaona kikubwa katika matamshi yyake zaidi ya kuwaamsha wazanzibari walioambiwa wao ni nchi ndani ya nchi, alipotamka Mhe Pinda tena bungeni ndio vuguvugu la...
Kutokana na CCM kukumbatia pensioners waliokuwamo katikasystem ambayo ndio sababu ya kutufikisha hapa tulipo, kijana wa aina ya DrKingwala anaweza kuwa turufu pekee credible kwa candidacy kubwa ya urais kwao.Hawa Kina Sita, Membe, Lowasa wamekuwa katika system hii kwa muda mrefu mno nani sababu...
Muulize huyo Mwiba hio statement kaiandika nani.. Kabla hujaanza kubrand majina, mimi si miononi mwenu wa copy and paste..Ni majibu yangu mimi kwa Zto kabla ya hata Mwiba kuiweka hapa. Tartib kijana ulikuwa uulize kwanza, wacha ignorance...round headed buffoon
Namsoma Zito hapa na nafikiri kuna point muhimu haifahamu,anasema "Zanzibar iwe na Waziri Mkuu Mtendaji kwa masuala yote ambayo sioya Muungano. Tanganyika iwe na Waziri Mkuu Mtendaji kwa masuala yote ambayo sioya Muungano. Hawa watateuliwa na Rais wa Muungano kutoka chama chenyeWawakilishi wengi...
Joka Kuu,
Ni vyema hasa kuona katiba ya Tanganyika itakayokuwa nanguvu sawa na ya Zanzibar. Izingatie hasa maoni ya watanganyika wenyewe bila yamashambulizi ya CCM Zanzibar waliozowea vya bure huku wengi wakiumia.Tungependa hasa sio KMKM tu lakini essence ya uinchi wa Tanganyika kubebwandani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.