Search results

  1. kojozi

    Wanawake wa Tanzania na Unyanyapaa wa "shapewear" au vigodoro

    Natoka nduki Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kojozi

    Mgongo wa nani huu jamani?

    Wema sepetu
  3. kojozi

    Wanaume: Je mnakipa tafsiri gani kitendo cha mwanamke kukubali kujamiiana mapema...?

    Mimi uwah nawapigahgah ngwalah alafu namalizah kazi.
  4. kojozi

    Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

    Dogo unamakengeza ? Twa dalasa la saba ndio tutamu.
  5. kojozi

    Unamkataliaje rafiki?

    Umewezaje kuona kijiti kilichopo jichoni mwa huyo kijana ukiwa umeshindwa kuona ubanzi uliopo jichoni mwako?.
  6. kojozi

    Royal weding invitation cards

    Heli yetu sisi tunaokoswakoswa na mabasi na bajaji hapa duniani maana tumeandaliwa ndege mbinguni.
  7. kojozi

    Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

    heeeeeeeei nawona umenitabuwah apo. saa sema basi sms ya nzee inasemaje usiluke apo Dinnah
  8. kojozi

    Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

    Dogo enzi zetu kulikuwa hakuna sms, enzi zetu tulikuwa tunatumiya balua tu hoooo kojozi nakupenda nikinywa maji nakuwona kwenye glass basi kesho ukitoka kazini tukutane bale gengeni waridi wangu.
  9. kojozi

    *Miss Tanzania 2008*

    Mkuu bola huyo mdogo wako ata tutiti kwake tumesimama alafu yupo nechloo, alooo kawabwaga wengine wote.
  10. kojozi

    EPA na mambo yake

    Jamani wakati umefika wa kuacha uonevu na kupendelea watu, Hivi hawa waliopewa jukumu la kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wausika wote wa wizi wa fedha za Benki Kuu (BOT) watawakamata lini wausika wakuu? mbona vigogo wengi tu tunawajua wanausika na wizi huo lakini bado...
  11. kojozi

    JF: Happy ending-Wanaharakati waitetea Jambo Forums!

    Nimejalibu kufikiri kwa makini kwanini vijana wa jambo forum walikamatwa na kuojiwa eti kwa madai ya kutoa habari za uchochezi lakini sipati jibu. habarigani za uchochezi zilizotolewa hapa? mbona habari za hapa zote za ukweli au kufichua mafisadi na kukemea ufisadi ndio uchochezi? huu ni uonevu...
  12. kojozi

Back
Top Bottom