Search results

  1. A

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    Raisi aliposema, asiyetaka mshahara huu aache kazi, Hivi madaktari walishindwa kujibu kwa kusema "sisi madai yetu si hayo tu ni pamoja na vitendea kazi, kwa ajili ya wananchi na taaluma yetu, kwa hiyo haturudi!" Nilifikiri hili neno lingemtosha Raisi, mawaziri wake na wananchi kwa ujumla.
  2. A

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    Kabisa, kulikuwa na haja gani ya madaktari kurudi kama walikuwa wanamuonea huruma mgonjwa? au kama waliamini thamani yao si hii wanayopata wakati huu? HEBU WATANZANIA TUJUE TUNACHOTAKA KWANZA, SI LAZIMA VIPATIKANE KWA MARA MOJA, LAKINI TUKIINGIA KWENYE KITU TUHAKIKISHE KUNA MABADILIKO!
  3. A

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    Mwezi huu tumejionea migomo miwili, lakini katika hii tumeuona mgomo wa madaktari na walimu ambao unaendelea sasa. Tujiulize wanaojiita ma-specialists wameonesha kutokuwa na akili za kutatua masual wanayoyakabili (immaturity of thoughts), kupitia ma-intern madaktari hawa walikuwa wakisema...
  4. A

    Okay, tumefukuza madaktari, then? Ningekuwa rais hotuba yangu ingekuwa hivi...

    Cha msingi cha kukiangalia hapa ni; madai ya madaktari yalikuwa ya msingi au siyo, kama ndivyo, kuleta madaktari wengine si issue kama hapatakuwa na CT Scan, hapatakuwa na X-Ray...tutakuwa tunachochea maafa zaidi kuliko kujenga. Lakini kwanini pia wananchi hawahoji wanapokosa vifaa tiba...
  5. A

    Okay, tumefukuza madaktari, then? Ningekuwa rais hotuba yangu ingekuwa hivi...

    Ni takribani mwezi mmoja tangu mgogoro wa awamu ya tatu ulipoanza baina ya Madaktari na Serikali, tumeendelea kujionea kila kukicha mambo mengi yanayohusiana na mgomo huo wa madaktari. Ni mwezi January mwaka huu ambapo madaktari waliitaka serikali irekebishe maslahi yao pamoja na kuwapatia...
  6. A

    Madaktari kushitaki serikali (MCT)

    ni utamaduni uliozoeleka kwa wale ambao hawawezi kudai haki zao hukimbilia nje, madaktari wana uwezo huo ila wanataka kuidai haki hiyo...Pambaneni kwa mnacho kiamini
Back
Top Bottom