Umeandika jambo zito sana ambalo naamini wachache watakuelewa. Uchina wameliweza hili (SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMAH WA KIBEPARI), na mpaka sasa naamini hata Marekani ilifanikiwa sana ilipotumia huu mfumo tokea mwaka 1933 hadi 1953. Huu mfumo kitaalamu tunasema, The Ownership is capitalist, but...
Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu.
Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's:
1. VITA VYA KAGERA,
2. UJAMAA,
3. HUJUMA ZA KIBEPARI,
4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's
5...
Mfanyakazi wa zamani wa Boeing, John Barnett aliyetoa siri juu ya uzembe wa kiufundi katika uzalishaji wa ndege za Max 737 amekutwa amefariki akiwa ndani ya gari lake. Kifo hicho kimetokea ilhali mfanyakazi huyo akiwa anategemea kutoa ushahidi mahakama kwenye kesi yake dhidi ya shirika hilo...
Sababu zipo, nyingi lakini hizi ni chache;
Mpaka sasa Ukraine amepewa msaada wa dola za kimarekani Bilioni 74 ambazo ni zaidi ya Trilioni 150 za kitanzania, ambazo zilitumika kununua silaha za kisasa kabisa kutoka NATO. Msaada huo wa kijeshi haujazaa matunda yoyote baada ya Counter-Offensive ya...
Kwamba Rwanda wanaweza kuwashinda Afrika Kusini, taifa ambalo linatengeneza kila aina ya silaha ya kivita hapa duniani, kuanzia Infantry Fighting Vehicles, Tanks, APCs, Attack Helicopters, Ballistic Missiles, Fighter Jets, UAVs and Heavy Artillery. Wanawauzia silaha nzito mataifa kama Ujerumani...
Mbona kuna Catholic Schools and Universities hapa Tanzania lakini hatusikii mkilalamika hivi. Katiba yetu ya Tanzania haikatazi kabisa watu kuanzisha shule za jumuiya, inachokataza ni kuanzisha shule hizo kwa nia ovu ya kufanya ubaguzi wa rangi, dini, jinsia au kabila. Jambo ambalo mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.