Search results

  1. Masangutu

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Natafuta mwanamke wa kufanya nae biashara/partner ship Sifa:miaka 20-65 Elimu:Form 4-degree Kazi:awe na kipato Cha kueleweka. Family status:No matter Dini:Yoyote asiwe mpagani tu! Umbo: Mwenye makalio yake(zingatia) Rangi:mweupe au mweusi. Kabila:lolote isipokuwa,mzaramo. Umbo:Awe na nyama zake...
  2. Masangutu

    Kwa wale tu Wanaodhani Israel ni Mgeni Middle East kitafuteni Kitabu cha Basic Facts of the United Nations ili msiwe Majuha tena

    Kumbe ni kitabu Cha kuandikwa na waandishi wa kidunia!nilidhani Quraan,taurat au zabur.
  3. Masangutu

    Nyumba iliyosakafiwa kwa meno ya watu

    Uje utupe na historia ya madhila waliyoyapata watumwa mikononi mwa wazungu huko Caribbean na america.
  4. Masangutu

    Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

    Kauli ni ileile tu Matajiri Huwa hawana makelele.(hawana pesa hao)
  5. Masangutu

    Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    Hiyo list ya Tanzania ya mwaka Gani??Yani reginard mengi amzidi utajiri bakhresa??fake list.
  6. Masangutu

    Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

    Siku hizi wanaita MAMBO YA PAPA WA VATCAN.
  7. Masangutu

    Nimewakuta marafiki zangu wawili nilisoma nao tangu utoto ni Mashoga. Nini kifanyike kuokoa tatizo hili?

    Papa wetu Kule vatcan siameruhusu sisi waislamu tuwe mashoga,au hujasikia unajitoa fahamu!!
  8. Masangutu

    Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

    Kaka usipotoshe watu jifunze kwanza uislam uulewe,usiandike vitu usivyovijua ni Bora uachie watu wanaojua utaumbuka.chimbuko la uislam halianzii Kwa Ismael ndugu.
  9. Masangutu

    Fungua jicho la tatu

    Kwahiyo hapo ndio umefungua watu jicho la tatu?!!
  10. Masangutu

    Fungua jicho la tatu

    Kwa upande wa uislam dini Yao imejitosheleza Kwa kila kitu Yani Haina editing.Papa juzi kabariki ndoa za wase.nge halafu Bado unakomaa na uislam au hujazisikia hizo taarifa??au unajizima data!!!
  11. Masangutu

    Fungua jicho la tatu

    Hizi mada za kufungua jicho la tatu waachie kina Mshana.Nimesoma huu Uzi umeandika ushuzi mtupu,nimegundua lengo lako ni kuponda uislam na kutukuza ukristo.
  12. Masangutu

    Vijana wa Kitanzania kujiajiri

    Tafuta line za uwakala fanya kazi ya miamala ni rahisi kuifuatilia pia pesa yako utakuwa unaichungulia.
  13. Masangutu

    Nilitiwa aibu ugenini sitasahau

    Ndugu ni ndugu tu haijalishi umefanikiwa kuwazidi kiasi Gani,Kuna Leo na kesho
  14. Masangutu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unaizungumziaje game ya Leo saa 11 jioni Etoille Sahel vs club African.tunisia league 1.?
  15. Masangutu

    Mimi ni kijana wa miaka 23, nina mtaji wa 120k naombeni mnishauri biashara ya kufanya

    Nunua urembo wa wanawake kama cheni, hereni, vibanio, bangili, maua. Tega kwenye foleni ya magari kama upo Dar, pia unaweza kuuza bites mfano chocolate, biscuits, crips, tissue za kujifutia, bublish n.k. muhimu uwe na utayari na nia ya kubadili maisha yako bila kuangalia macho ya watu. (Hakuna...
  16. Masangutu

    Maisha halisi nchini Marekani

    50 wachache fanya 100.
  17. Masangutu

    Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Uhamiaji na Nida wafutwe ikiambatana na kuchapwa viboko hadharani uwanja wa Taifa
Back
Top Bottom