Search results

  1. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Hakuna chuo kinachoitwa AIT( Arusha Institute..) ni Arusha Technical College unless otherwise ulikuwa unamaanisha IAA.. But IAA sio technical college kama ulivyomaanisha.. Na kwa sasa pia hakuna MTC( Mbeya Technical College). Kwa sasa kinaitwa MUST( Mbeya University of Science and Technology) na...
  2. E

    kwa waliyoomba Mbeya University of Science and Technology zaman MIST

    thnx manoah.. Koz ww unamjuwa dean kwa upeo wako sio? Matusu tumezoea sana 2.. IQ yako?
  3. E

    kwa waliyoomba Mbeya University of Science and Technology zaman MIST

    Hilo ni swala la management.. But next bila shaka.. yatakuwa displayed..
  4. E

    kwa waliyoomba Mbeya University of Science and Technology zaman MIST

    ok! Bridging koz kudisco au supplimentary ni kawaida.. Halafu vyuo hivi ambavyo vpo chini ya NACTE.. Kuna ki2 kinaitwa technical supplimentary.. Ndio kinachoumiza.. Swala la kudisco sio kivile kwa watu wa bachelor.. Sema technical supp ndio kibao.. Hata ukicheki matokeo kwa website ya chuo...
  5. E

    kwa waliyoomba Mbeya University of Science and Technology zaman MIST

    Yap.. Kwa kukusaidia ndugu.. cheki website.. www.mist.ac.tz ya chuo..Wameweka New fee structure.. Kwa muhula wa masoma 12/13..
  6. E

    MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY.

    Mkuu ftc ilikuwa mpango mzma ukilinganisha na system ya NTA Level ambayo inakuwa offered right now ambayo curriculam yake imekuwa reviewed kutoka ftc.. NACTE wanatakiwa kuchek tena units coverage ktk vyuo hivi vinavyotoa diploma kwa sasa coz ubora wa Diploma hii inayo tolewa ni tofauti na ubora...
  7. E

    MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY.

    Lady N.. Mie na kubaliana na ww...
  8. E

    MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY.

    Lady N.. Unataka tofauti ya Technician na Engineer? Ni rahic ww google 2 kwa detailz zaidi.. bt t cmz umepita kwenye technical level.. Sasa ukisema nikupe tofauti ya technician na engineer ni kunipima... Ingekuwa uja declare interest kuwa ww upo kwenye nyanja ya maji ningeongea k2.. Kwa...
  9. E

    MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY.

    oh! Mkuu.. Mie mwenyewe na juwa kuwa system ilibadilika kwenye vyuo hivi vya technical ambavyo vipo chini ya NACTE..since 2006.. Na mm sijaongelea hilo kutoka system ya ftc mpaka kwenye system ya NTA.. Nilichoongelea ni kwamba ktk mamlaka ye2 ya maji kuna wa2 wana act kule ktk mambo ya quality...
  10. E

    MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY.

    ua welkum mkuu.. Ukiingia piga buku.. Isijekuwa una morali 2 ya kuulizia soko la hiyo koz shule ikakushinda. kwenye vyuo hivi ambavyo vipo chini ya nacte kuna technical supplimentary.. Mkuu ukienda chuo jipange..!
  11. E

    MSAADA.. Course ya WATER QUALITY AND LABARATORY TECHNOLOGY.

    ndugu hyo koz ipo chuo cha maji Rwega? Infact hyo ni bonge la fani kwasababu hapo utakuwa una deal na quality control... na ukiangalia mamlaka ye2 ya maji hayana wa2 hao wa quality control.. Bali 2na wa2 waliosoma civil eng.. au water supply and resources ambao wana act ktk upande wa quality...
  12. E

    Chuo cha mount meru a-town & mza cumpus

    Ndugu yangu hofu na shaka ondoa.. diploma ni level ambayo inatambuliwa hususa kwa vyuo ambavyo vimesajiliwa na TCU pamoja na NACTE.. Kwahyo chuo kikuu cha mount meru arusha.. Kimekuwa accredited na TCU kuwa university.. So diploma yake inatambuliwa na university na institute na college yeyote...
  13. E

    kwa waliyoomba Mbeya University of Science and Technology zaman MIST

    Ndugu wapendwa kwa yeyote ambaye anategemea kujiunga na Mbeya University of Science and Technology(MUST) zaman kikiitwa Mbeya Institute of Science and Technology(MIST) jijin Mbeya kwa mwaka wa kimasomo 12/13.. Anaweza kudrop maswali au kuomba ushauri juu ya university hii.. Hususa kwa wale...
  14. E

    Elections 2010 Mnyika na wanachuo UDSM

    wewe pumbavu nn!! umenichefuwa mshenzi mkubwa.. eti wanafunzi wangekuwepo wasingempa Mnyika, ongaja niishie hapa..
Back
Top Bottom