Search results

  1. V

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Mpigie mwenye namba hii 0714755582, mweleze tatizo hili. Nimeshaona akisaidia watu wenye matatizo kama hayo na wamepona.
  2. V

    Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Unaweza kuniunganisha na mojawapo ya hizo kampuni au kunipa anuani zao?. Thanks
  3. V

    Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Nitakutafuta mkuu kwa maelezo zaidi.
  4. V

    Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Kivipi? na ni nani hao wanaotoa hayo mashipa?, nipe uzoefu wako.
  5. V

    Nataka kuanzisha kampuni - ushauri wenu tafadhari

    Wakuu, Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya udalali hasa wa nyumba, viwanja, magari na electronics zingine. Nahitaji kujuwa: 1. Ni shilingi ngapi zinahitajika ili kusajili kampuni ya namna hii? 2. Ni vitu gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kupata usajili wa kampuni? 3. Moja ya kazi...
  6. V

    Nina 150,000/= nahitaji 21 inch flat screen tv

    Wewe unayo ya bei gani? hapa chini mwenzio ana ya 250k, wewe je? ni pm email yako
  7. V

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Dada, Mungu akubariki sana sana sana, hivi ninavyoandika kwangu wife mambo yameshajipa ni karibu wiki sasa. Ninakuandalia zawadi babu kubwa na nitakuletea hivi karibuni Mungu akulinde. Hongera pia kwa jf kwa kutuweka pamoja.
  8. V

    Comparing Tanzanian mobile internet costs

    Mkuu, safi sana. Naomba na mimi unisaidie KEYS za artisteer 4. Ahsante sana.
  9. V

    Website designing

    :playball: Mkuu, nakushukuru sana hata mimi, je nitapata wapi keys za hii software?
  10. V

    Je ni kweli ukimwi unaweza kujificha.?

    Upo mkoa gani habari ya mjini?
  11. V

    Kwa wataalamu wa masuala ya simu na tv

    Nimekupata mkuu, muda wowote kesho 08/11/2012 nitakupigia.
  12. V

    Kwa wataalamu wa masuala ya simu na tv

    Habari zenu wakuu, Nina mambo mawili hapa: 1. Nina mjomba wangu mmoja hapa dar ana guest house yake ina rooms kama 20 hivi na anataka kufunga simu kila chumba zile zisizo hela (vocha) ili kuwasiliana ni kama radiocall vile sijuwi, sasa anahitaji kujuwa wapi atawapata watu wanao husika na kazi...
  13. V

    Msaada wa haraka unahitajika: Hotel reservation software

    Heshima kwenu wakuu, Tafadhari naomba kujulishwa ni software gani nzuri na maarufu zaidi kwa ajili hotel reservation ambayo ninaweza kuinstall pia code zake online kwa ajili ya online booking kwenye website ya kihotel changu. Nahitaji ambayo ni free source au ya kulipia lakini ina free trial...
  14. V

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Sasa hiyo ripoti mbona haiwekwi hapa? halafu kuna usumbufu kuingia kuisoma thread hii
  15. V

    CD/DVD Printer inahitajika haraka

    Habari zenu wakuu, Nahitaji cd/dvd printer ya bei ya chini haraka iwezekanavyo. mwenye kujuwa wapi nitapata kwa hapa dar anijulishe. Ahsanteni
  16. V

    Natafuta kazi yeyote ya IT

    Nashukuru mkuu, kwa upande huo mi natumia cms's (wordpress,joomla,blogger, etc).
Back
Top Bottom