Nina hofu na wasiwasi mkubwa. .kihehe sanifu na utamaduni wake; mavazi, michezo kama kuduva, mandala, kusenyemba, kuyeyela, kwidwisa (mieleka), Mapishi, uhifadhi wa vitu mbali mbali kama nyama, nafaka za kula na kupanda, uwindaji na ufugaji na ufundishaji wa wanyama mbali mbali, vingi...
Nyumba ni asset kama unajenga zaidi ya moja halafu uzikopee benki, kama amana ya mkopo wako. Ila ukiwa unahifadhi pesa zako kwenye majengo, hapo utakuwa umebugi...siku moja utalia, mifano ipo mingi, kama kule marekani na ulaya, hasa pale unapotokea mdororo wa uchumi.
Kapongo, Kuna msemo wa siku nyingi unaosema: "Never wrestle with a pig, you will both get dirty and the pig likes it."
I thus chose not to wrestle with Polepole. Mwenye hekima hahitaji kujijustify mwenyewe, anaetetea hoja hii ya Polepole haitakii mema nchi hii. Lazima tutoke hapa, hizi approach...
Tumefika mahali tulipo kwasababu ya watu kama akina Pole Pole. wamefungwa ufahamu, wanafikiria mambo kwenye narrow angel kisha wanatumia our weakest political system to lure our people. Utashangaa kuna watu humu ndani watamsifu Pole pole, kwa kukurupuka bila kufanya a critical analysis ya huu...
This is so much irresponsible of you blood sucker! Lets not get to this mess, please. Nashangaa sana watu wanaoshabikia vurugu za Zanzibar, hata sisi wa Bara hatutakuwa salama, sipendi kabisa watu wafe eti kwa sababu za kisiasa. Nachukia sana watu ambao hawaoni mbali kuhusu hili jambo. Sooo sad!
-
May His Soul Rest In Peace. I know the guy before he became the TAA Boss, very humble indeed.
We have got a lesson to learn here:
1. Swimming alone in the sea, too risky even if you are an expert, better have a company, it is the best safety practice.
2. We do not know the cause of his...
Ujinga ni kitu kibaya sana..aliyekwambia kula nyama sana au kula nyama zaidi ndio utamaduni mzuri au ndio kujenga mtoto mwenye afya njema ni nani?
Tafadhari usipotoshe watu, wewe sio authority kwenye health science, tupe ushahidi wa kisayansi sio kushawishi watu kwa hisia tu. Bahati mbaya sana...
Ahsanteni sana Wana JF, nimepata majibu, nina kushukuruni sana kwa michango yenu. Nimejifunza kuwa:
1) Kumbe kuna mabadiliko yamefanyika mwezi wa Tisa 2015, na mchakato wake ulianza mwezi March 2015, na kama ni sahihi, mmoja wa wachangiaji anasema
2) Jeshi letu lime adopt vyeo vya Jumuiya ya...
Wana JF
Nimeona picha ya Meja General Gaudence Milanzi, aliyeteuliwa na kuapishwa na Rais hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, kwenye blog ya Mpekuzi Huru, ikanipa Maswali.
Kwenye picha hiyo ( ambayo nimei copy na kupaste hapo chini tena), Major Generali Milanzi...
Acheni hizi Gross accusations, weka wazi nani kampendelea kwa lipi? Naamini una taarifa zaidi zilizokusukuma hadi uanzishe uzi huu..weka wazi tukuelewe, na bila kumwonea aibu wala woga mtu yeyote, National interest first, and that is what I believe Magufuli is striving to achieve..!
Irrespective of how good or valid contributions that you might have brought to JF, nimesikitishwa sana kujiibandika jina la MKWEPA KODI. hivi hiyo ni sifa njema au ni arogance au ni kitu gani? You might be honest kulingana na jina lako, kwamba wewe ni mkwepa kodi na huoni haya kujitambulisha kwa...
Mie nina support hoja from the creation of Magufuli into the presidency. Kwamba, ni kweli nguvu kubwa ya Lowassa kuutaka urais ndani ya CCM, ndio ilimuibua Magufuli, kama salvage ya chama kugawanyika na kuingia mikononi mwa "Kundi" lisilo faa. Ndio Maana marais wastaafu, kwa kuongozwa na "divine...
Good story tale, let our President JP Magufuli initiate the warbles and will dance to the tune.
The New Tanzania is in the making, if Rwanda did with all their meager resources and a few quality brains, how about Tanzania with millions?
Rwanda departed from Anglophone, Tanzania got to...
The author made an early or a premature observation and a few judgmental thoughts. In the state and where Tanzania was, we need a man like JPM to overstep on a few keys. Without overriding a few basics to set the button to the default mode, we will not move.
The author also applauded the just...
I grew up in Iringa Tanzania, in a society whereby our religion was a humility method of unifying all of us, while a kid as a Christian, I would visit a mosque and a madrasa, learn a few things and my Muslim friends and relatives, were visiting and sitting with me during our Catholic religious...
KWa Hali ya Nchi ilipokuwa imefikia, kila kitu kuwa politicised, viongozi kukosa uzalendo na competence ya kufanya kazi ya utumishi wa umma, Civil servants kugeuka kuwa Civil Bosses, mifumo ya kiutawala kuzidiwa na rushwa, ubinafsi, kiburi na kutazama maslahi binafsi kwanza kabla ya makusudio ya...
Mleta hoja anapaswa kulinganisha an apple with an apple. Sio sahihi kumlinganisha mbunge na Mtendaji mkuu wa shirika anayezalisha. Benchmarking ya politicians ati ndio wawe na mishahara mikubwa is a misplaced proposal. Nchi hii hatusongi mbele kwasababu ya wana siasa.
Kiukweli, mie nilidhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.