Mifuko ya pensheni ina sura mbili: sura ya watu wengi wanaochangia wanaoingia na kutoka kwa kustaafu (demographic dynamics aspect) na sura ya pesa nyingi (financial investment aspect). Pia kuna sura ya kisheria na kisiasa ktk kuendesha pensheni ambazo ni muhimu kuzifahamu vzr sana.
Inahitaji...
Naomba nitofautiane kdg ingawa nafahamu tabia za watu wenye mawazo mafupi watanishambulia kwa kutokubaliana nao.
Haya yasemwayo ni majungu. Tutafute hoja nyingine ya kuibana serikali lkn hii haina mashiko. Imeundwa kiubinafsi zaidi. Kwanza inaongelea maslahi ya uzeeni ya walimu peke yao why...
Mi nakubaliana na hivi vilema vitatu kweli tunavyo hapa Tanzania. Pia nahisi vinahusiana na jambo linalofanana. Nalo ni kuporomoka kwa uchumi. Nasema hivi kwa sababu kadhaa. Nitahusianisha chache hapa:
1. Kuongezeka kwa "Kukaa kinyumba" kunatokana na wanaume wengi kuwa na uchumi dhaifu. Kwa vile...
Hii mada naomba nichangie. Mi naona ni kuwa wengi wao wanasiasa wa TZ hawana wanachoamini (conviction) wala hawana falsafa. Wanagombea kwa maslahi binafsi tu, hawana cha kutimiza zaidi kuangalia vp watapata chakula chao. Wanalipa fadhila kwa kuonekana kwenye misiba, kutoa rambirambi hela nyingi...
Naomba nichangie. Nashukuru kwa kuposti hii mada. Ilivyo ni kuwa, watu wengi si wapenzi wa mambo ya namba, au hawaelewi madhara yake kwa kutoa namba bila umakini. Uzoefu unaonyesha huwezi kabisa kuwategemea viongozi wa ngazi inayotajwa au yoyote kufanya kazi hii. Ni kazi ngumu sana ndio maana...
Sikubaliani na AINE: Hasa sehemu hii ya kutaka kujua "Anakaa wapi, ndugu zake nani, marafiki zake nani.." Naona havihusu chochote. Kama unataka kumfahamu huyu dada spend nae muda utamfahamu tu bila kumhukumu kwa sababu ya ndugu zake, marafiki zake, anakoishi nk. Hayo ni mambo ya kizamani AINE...
Ki ukweli wadada wako hivyo. Hawasemi watakalo wanajichekesha tu. Pia, wengine ukimuonyesha meno tu ukimsifia kapendeza anakuja wanguwangu. Kiufupi, wadada ndio wapendao zaidi mahusiano. Yamenikuta hayo; kisa nilimsifia mara 2-3 kwa nia njema bac yeye mwenyewe kanialika kaniachia kila kitu...
Yani mmenigusa. Nimekuwa naumiza kichwa siku zote nini nifanye ili kulazimisha watu waache huu uchangiaji wa kula na kunywa kwa masaa matatu shs laki moja za zaidi kwa kichwa kimoja. Nikienda Kempinski pia siwezi kutumia kiasi hicho cha pesa. Afadhali basi ingekuwa tunakula na kushiba, lakini...
Omarilyas will always be Omarilyas... he will always so (or too) self confident even when he should not be. It could prove to be useful in some ways but I mean come on.. defending Ridhwani or Benno Malissa as COMPETENT? puleeez!
Wow, i like this... esp the last para, politics is a dirty game, and if CCM wanna play that game but Tanzanians don't wanna join them, then we don't have to join them... Simply Tanzanians should shove em aside.
The fact that CCM remain on despite, is a bit of a proof that Tanzanians are not...
Hey hey Fella,
Ningekuwa wewe nisingelinganisha uteuzi wa dada Mwendwa kuwa jaji na ule wa akina Ridhwani kuleta cheap politics zao wasizozijua.
Sababu nasema hivyo ni kuwa dada Mwendwa namheshimu sana. Ni laywer mzuri tena wa siku nyingi. Amepewa hiyo nafasi kwa uwezo wake kuliko upendeleo...
Jamani mimi sina msaada mkubwa kwa kukosa utaalam.. lakini na mimi nina tatizo hilo pia. Nimeshatumia madawa ya kila aina na kila bei toka nchi mbalimbali. Hospitali zote kubwa nimeenda kutibiwa malaria hii lakini inarudi kila baada ya mwezi mmoja. Labda na mimi ni sababu ya kukaa sana nje usiku...
Jubilant ahsante ndugu na mimi nimedesa...
Pia nimehamia mbali na mpango wa TANESCO. Na hata ningekuwa karibu siwapendi. Mimi sijui kabisa sayansi ya umeme, kwa hiyo hata kujua idadi ya Watt ninazohitaji ni mtihani, ila najua vifaa ninavyohitaji. Najumlisha tu linearly Watt za kila kifaa au...
Napenda style aliyotumia kuelezea hii kitu huyu Mzelendohalisi. Hakuna haja ya kulialia. Work hard, prove them wrong!!! It has always worked for me... Tangu shule ya vidudu nimekuwa the odd-one na siku zote nime-prove them wrong.. Nilikuwa mdhaifu na nilitoka kwenye jamii ya dini na kabila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.