Search results

  1. NDAGLA

    Wafanyakazi PSSSF HQ wanashiriki kutapeli wastaafu

    Shida ni kwamba,huu utapeli unafanywa na wafanyakazi wenyewe siyo outsiders maana mawasiliano yanaanzia kwenye mfumo wao rasmi wa huduma kwa wateja ndio wanahamia uchochoroni.
  2. NDAGLA

    Wafanyakazi PSSSF HQ wanashiriki kutapeli wastaafu

    Wala hawachukui michango! Wanaotapeliwa ni wastaafu ambao Mwajiri wao hakuwasilisha michango yao yote PSSSF. Wanaambiwa walipe (wastaafu) wenyewe hiyo michango ambayo (haikuwasilishwa) directly PSSSF ili walipwe pension iliyobaki kwa madai ni agizo la Rais. Hao wafanyakazi wanatoa namba za...
  3. NDAGLA

    Wafanyakazi PSSSF HQ wanashiriki kutapeli wastaafu

    Hii taarifa ina wenyewe na bila shaka wameshaipata.
  4. NDAGLA

    Wafanyakazi PSSSF HQ wanashiriki kutapeli wastaafu

    Kwema wadau, Natoa tahadhari kwa wote wanaowasiliana na PSSSF kupitia DM page yao rasmi ya instagram (Psssftz) na wale wanaopiga namba zao za bure 0800110040 na 0800110055 kuhitaji msaada wowote. Kwa kifupi watumishi wa kitengo hicho cha huduma kwa wateja ukishawasiliana nao watakuomba namba...
  5. NDAGLA

    Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Kiongozi wa dini halafu nickname yake Transformer!!! Is he a step-up or a step-down transformer? Au yeye ni transformer ile nyingine? Ka-transform nini mpaka sasa?
  6. NDAGLA

    PICHA: Waziri wa Ujenzi, Makame Mbarawa akishangaa nyumba iliyojengwa Juu ya Reli

    Sioni reli hapo bali mataluma tu. Kama serikali inayachukua mashamba yasiyoendelezwa basi ni sawa tu kwa jamaa kufanya alichofanya.
  7. NDAGLA

    Baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge, Zitto acharuka

    Kama rais anaongoza bunge kwa remote tatizo ni rais au viongozi wa bunge? Si wawalaumu viongozi wao wa bunge kwa kupelekeshwa kama wanaushahidi? Dawa ya yote haya ni wao wapinzani kutwaa viti vingi bungeni ili washiriki kuuweka uongozi wa bunge tofauti na sasa ambapo maamuzi yote bungeni wao...
  8. NDAGLA

    SUGU: Tutaendelea kutoka bungeni mpaka naibu spika aache udikteta

    Huko ni kuvuja kwa pakacha..
  9. NDAGLA

    Kwanini gazeti la Mwanahalisi halioni mazuri ya serikali ya JPM? Muda wote ni kuponda tu?

    Ndiyo upande waliojichagulia na ni haki yao kikubwa wasidanganye ama kupotosha tu.
  10. NDAGLA

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) chataka wabunge waliosimamishwa warejeshwe bungeni

    Kwa hiyo wote watakao adhibiwa watakuwa wanatolewa tamko na LHRC? Mbona Juma Nyoso alipofungiwa na kamati ya maadili ya TFF hawakulaani? Haiwezekani watu wavuruge taratibu makusudi halafu wachekewe tu hata ngazi za familia adhabu zipo! Bora wakasajiliwe kiwe chama cha siasa then wakaungane na...
  11. NDAGLA

    Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

    Tatizo huna kazi za kufanya. Utaumiaje roho kwa mambo yasiyo kuhusu? Halafu huu ni unafiki tu,kama hutaki kuona picha zake si um-unfollow!!
  12. NDAGLA

    Maalim Seif Sharif: Ninamng'oa Dr. Ali Mohamed Shein Ikulu

    Kuruta anataka kufunga bembea kwenye pumbu za afande!!! Hawa wazanzibar wametukosesha za MCC halafu bado wanawachekea wavuruga amani? Ingekuwa Kagame,tungekuwa tunaongelea mambo mengine.
  13. NDAGLA

    Basi la mwendokasi lapata ajali mbaya Magomeni Usalama

    Kuna haja ya kuongeza adhabu ya viboko kwenye makosa ya barabarani tena unalambwa on the spot hasa hii issue ya matumizi ya barabara za haya mabasi yaendayo haraka. Kila basi litembee na askari or mgambo kwa ajili ya zoezi la kugawa bakora na fine za papo kwa papo.
  14. NDAGLA

    Picha: Yericko Nyerere na muonekano wa kutinga na pensi katika kipindi cha Star Tv

    Kutokana na maudhui ya kipindi kile kuvaa bukta ni uhuni tu na sitegemei ITV kuenda live kwenye "Kipima Joto" au kwenye kipindi cha "Malumbano ya hoja" na mgeni aliyevaa hivyo. Ingekuwa "Friday Night Live hapo sawa hata angeenda kifua wazi sababu mada zenyewe zina mrengo huo huo. Lakini...
  15. NDAGLA

    UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

    Mechi ndiyo imeanza.
  16. NDAGLA

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Tatizo wabongo hawana utamaduni wa kuhusisha tarakimu ama takwimu kwenye mazungumzo yao matokeo yake hata wakianzisha mazungumzo juu ya mambo muhimu wanaishia kuonekana wanaongea pumba tu. Halafu kutuhumu vijana pekee nayo ni pumba tu sababu ni vijana hawa hawa ndiyo huzeeka na pumba zao so...
  17. NDAGLA

    HansPoppe : Safari hii hatutaki wachezaji wa kuokota kijiweni kama Kiiza

    Football ni team work ndo inayofanya timu ipate matokeo tofauti na tennis. Sasa huyo striker anayewahakikishia kutupia goli kila mechi ni wa kufikirika tu sababu hata kwa wenye soka lao,hakuna striker wa aina hiyo. BTW:Huko aliko sasa ana-record hiyo? Wapi? Halafu haya mambo ya kuficha ficha...
  18. NDAGLA

    Millard Ayo unatuangusha

    Akishatimuliwa ndo ataanza ku-report habari za Jay D si unaona Hando alikuwepo siku yenyewe kwa kifupi adui wa bosi wako ni adui yako ndiyo slogan ya mawingu hata kama hujui hata chanzo cha ugomvi ama huna maslahi na ugomvi wao wewe vunga tu umfurahishe bosi.
Back
Top Bottom