Search results

  1. K

    Wa usoni yametepwereka mno

    Hawa watoto siku nyingine washindanishwe vifua wazi tuone nani ni msichana. maana naona wote wazee. Ni mtazamo tu.
  2. K

    Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

    Hoja imeungwa mkono( wanaoafiki waseme NDIO) police kosemeshwa na kodi yetu na tena analipwakutokana na hiyohiyo kodi yetu kisha anawapiga watu wetu! Nakubali Mwema si mwema tena na intelijensia yake! (Nguvu iliyotumika kuzima maandamano kwa nini isitumike kuhakikisha usalama kwenye...
  3. K

    ALJAZEERA na Mambo ya ARUSHA

    Hatuwezi kukupongeza kwani hii ni kazi ya wote wanaowaza vizuri (Great thinkers) kama kuna picha zingine tuwekee.
  4. K

    Tukio la arusha – tuzungumze tumalize tofauti

    POLISI wa TZ hawataki kuukubali wakati maana wajiona kama vile ni taasisi ndani ya sisiemu. Kwani ni sababu zipi hizo za kiintelijensia kama sio kuvuruga mambo? yote tisa lakini tutafika tu.
  5. K

    JF na hii mmeshaiona, full burdani

    Hii kiboko sikufikiri kabisa!!! Kumbe wanapendeza? Safi sana
  6. K

    Sawa Bwana Chenge! umefanikiwa kutudandanya!

    Sasa Bwana Chenge tunajua Mahakama imekusaidia sana kwa kuwa ilikutaka ulipe laki saba au uende ndani miaka mitatu nawe ukalipa laki saba kama vile mtu anavyolipa nauli ya Daladala. Lakini katika hukumu hiyo Sijui nani anapaswa kukata Rufaa. kwa kuwa sisi si wanasheria tunaiona hukumu ni...
  7. K

    Mambo ya Irish pub

    Sasa hapo cha ajabu ni nini? mbona ndio mambo yaliopo kwenye Pub zote! Tembea uone
  8. K

    Tendwa kama Usajili umekushinda, Achia Ngazi!

    Nilimsikiliza kwa makini sana Mh.John Tendwa Msajili wa vyama vya siasa alipokuwa anatoa ufafanuzi kuhusu kuwapa au kutokuwapa usajili wa kudumu hawa ndugu zetu wa CCJ. Tendwa anadai hana pesa ya kuhakiki majina ya wanachama wa CCJ nchi nzima. Swali letu hapa ni je Kama huna pesa hilo ni...
  9. K

    Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

    Angalia hata kucheza dance kiongozi wetu anacheza na mademu wengine wa kwake hawezi hata kutembea naye maana hana mvuto. :heh: Mvuto anao jamaa anao wengi sasa atacheza na yupi ndio maana hachezi nao wote ili kutunza heshima kwa wale wemgine. vinginevyo litaibuka TIMBWILITIMBWILI la Asha...
  10. K

    Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

    Tumeshamuona sana huyu jamaa sehemu mbalimbali zikitolewa picha zake sasa tuwekeeni za Mbayuwayu wetu JK tumuone nae na mama Salma ( kama yuko Peke yake lakini ) wakitembea viwanja vya Ikulu magogoni. Au hawana muda?
  11. K

    Wasanii wetu katika picha

    Huyo Sister siyo!!!!!!
  12. K

    Wasanii wetu katika picha

    Picha ya chini mtoto huyu anaonekana anapenda sana Ngono kuliko hata anchokifanya. Maana jamaa anchoambiwa haonyeshi kabisa kumsikiliza.
  13. K

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Kukomaa kwa Kikwete kutachukua Muda kama unamtibua mfuga Mbwa unategemea nini? Yaani kweli Kikwete yuko tayali akose kura za wafanyakazi? Haya bwana, yeye asije akafikiri ni watu laki tatu tu wana ndugu zao hao watafika milioni tatu! shauri yake. Katika Dharau alizowahi kuzifanya mwaka...
  14. K

    Nyerere huko uliko!!!

    Kama huko uliko baba yetu wa Taifa unasoma mawazo haya ya watoto wako uliotuacha huku tukiwa na amani na utulivu uliotukuka, basi naomba usome hapa kwa umakini mkubwa. Yule kijana ambae ulituambia bado mdogo na sasa amekuwa na akapanga kwenye lile jumba jeupe pale magogoni anawanyanyasa...
  15. K

    Elections 2010 Nani kuwa waziri mkuu 2011 tanzania.......spika je?

    Kwani nani aliyewaambia JK atapita tena wakati kawatibua wafanyakazi katika mkutano na aliowaata wazee wa Dar wakati wazee waliokuwepo pale hawakuzidi saba? wengine wote walikuwa vijana wa sisiemu toka Bagamoyo(yaani wakwere wenzie ndio maana kila dk kikwere!kikwere!) aliotoa vijembe vya kwenye...
  16. K

    Ni kweli ndoa ya Clouds Fm na CCM ishafungwa?

    Hasa wale jamaa wa Jahazi nafikiri akili zao zina matatizo sana. Yaani yule msoma magazeti anausagia mgomo wa TUCTA wakati mafanikio yakipatikana na wao watakuwa wamefaidika? hii ni hatari sana kuwa na watu wa sampuli hii. Sekta binafsi kama Clouds ambayo imeajili wafanyakazi kwa kuangalia IQ...
  17. K

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    Jamani aibu ni nyingi mno tukiziandika zote tutakosa muda wa kuzisoma (Kule kusafiri kupindukia kama vile waziri wa mambo ya nje nako pia ni aibu inayojitosheleza) Siongelei migomo inayomwandama hata maprofesa ambao tunaamini kuwa ndio wenye akili sana ya majadiliano pia wamegoma jama si balaa...
  18. K

    Aunt Ezekiel na Kanumba katika love scene

    Na huyu Aunty jina lake halimruhusu hata kuigiza upuuzi wa namna hii hata kama anatafuta pesa.Mnajua anaitwa GWANTWA maana ya jina hili halifanani kabisa na hii tabia. Na inaonyesha anapenda sana sehemu hizi maana hata uvaaji wake Mmh!
  19. K

    Sophia Simba: Sigombei ng'o

    Akishatamka Basi ametamka hawezi kupita tena kwenye jimbo lolote, maana amajifunga kwa kinywa chake, au ajaribu aone!!
  20. K

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Sawa tutapata namba ya simu, lakini Police kwa nini wanaifanya hii ni issure kuuuuubwa!! jamani kwani Jerry ni nani? Mbona Kova ukitaka kumuweka kwenye umaarufu ni maarufu kuliko Jerry!!! Sasa kwa kumsumbua huyu Jerry kiasi hiki police wanashusha umaarufu wao. Kwanza mtu mmoja wao polisi...
Back
Top Bottom