Search results

  1. Mtimti

    Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

    London ni moja ya jiji kubwa duniani lenye watu wa mataiga karibu yote duniani.na watu wengi wanaokuja uingereza lazima watembelee huo mji. Bei ya kupanga nyumba kwa private landlords ni ghali sana maana chumba kimoja kinaweza anzia pounds 400-500 (shs mil 1.3 - mi 1.5) Nyumba za bei...
  2. Mtimti

    Msaada namna ya kupokea pesa toka njee ya nchi kupitia worldremit

    Mtumaji anakatwa uk pound moja (shs 3000+) kila anapotuma pesa. ..kama mtumaji yupo UK
  3. Mtimti

    Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

    Kiasi kilichotajwa na serikali ni rahisi kulingana na clinic binafsi zilizopewa ruhusa ya kufanya test ya corona Nchini Uingereza. Serikali ya Uingereza inawafanyia bure wananchi wote waliopo uingereza lkn imepiga marufuku kutumia majibu wanayokupa kwa ajili ya kusafiria. Clinic binafsi...
  4. Mtimti

    Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

    Akili zako zipo wapi?..we miaka 10 unaiona kama siku kumi eeh?
  5. Mtimti

    Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

    We muongo sana na hata haujui mtiririko wa kuomba ukimbizi barani ulaya. Kwa taharifa yako...unapoomba asylum kama unavyodai kuwa LISSU kaomba basi jua kwamba huwezi kutoka kusafiri mpk unapokuwa granted.na ukishapata status ya ukimbizi basi hutotakiwa kwenda kwenye ile nchi ambayo ulikuwa...
  6. Mtimti

    Ikitokea Rais wa nchi akagundulika sio raia wa nchi anayoongoza, nini kinaweza tokea?

    Aliyekuwa Rais wa Peru kianzia 1990-2000 Alberto Fujimori inasemekana wazazi wake walihamia Peru akiwa mtoto mdogo. Na sheria za Peru zinataka Rais wa nchi awe ni raia wa kuzaliwa. Fujimori pamoja na kuzaliwa japan lkn aliweza kuwa Rais wa Peru kwa miaka kumi mpk alipokimbilia japan na kutuma...
  7. Mtimti

    Nina Milioni 45, msaada wanaJF

    Usijichanganye hata kidogo kununua daladala....utalia. Ukinunua daladala basi we uwe konda mpk pale utakapoona pesa yako atleast imerudi. Zingatia nnayokwambia, yalishanikuta.
  8. Mtimti

    Ni ngumu kumwacha/Kumsahau mwanamke anaekupa Papuchi kila mara unapoitaka

    Mimi kijana wa zamani nawaambia vijana wa sasa kuwa, K.u.m.a ya bure m.b.o.o hailali. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mtimti

    Muda umefika sasa wa kumpata Undisputed Champion

    Nakataa hoja yako ya kwamba AJ anamuogopa DW. Deontay Wilder alikataa offer ya dollar million 100 za DAZN ili apambane na AJ baada ya kugundua kuwa AJ atapata mara mbili ya hiyo pesa. Promoter wa AJ alitaka sana pambano lifanyike last year pale Wembley. Lakini jamaa akachomoa akisisitiza apate...
  10. Mtimti

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Hakuna line itakayofungiwa. Deadline itafika na watakuja na tamko jipya. Serikali haina pesa na zaidi ya line mil 10+ hazijasajiliwa kwa mfumo wa fingerprints, mmeshafikiria ni revenue kiasi gani serikali itakosa kwa jambo hili la kipuuzi? Tusubiri tamko la kujichekesha la serikali lakini sio...
  11. Mtimti

    Kufungia simu Serikali itapoteza zaidi ya 30% ya kodi toka makampuni ya simu

    Usiandike usichokijua Ndugu. UK line ya simu inauzwa pound moja, na unainunua tu kama unavyonunua pipi kwenye off licence. Huitaji kitambulisho chochote kununua pay as you go simcard. Ukitaka simcard ya contract ndio unafanya vyote hivyo na bado unaweza usipewe kama credit score zako ni chafu...
  12. Mtimti

    Naomba msaada mtoto wangu anasumbuliwa na tumbo

    Kama ni amoeba hiyo haja yake ingekuwa na mchanganyiko na damu. Afanye haraka sana aende akapime typhoid. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mtimti

    IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Water pump ingekua imekufa angeshajua bila kumuita fundi, kwanza maji yote ya ktk rejeta yangeisha ndani ya dk moja mara tu baada ya kuiwasha gari na pia sign ya engine kuwa overheated ingetokea kwenye dashboard. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mtimti

    Makange ni nini?

    Makange ni surname ya Robert Makange(R.I.P). Huyu mzee alikuwa ni mwandishi wa habari na alimiliki gazeti kipindi cha TANU na vuguvugu la kupigania uhuru. Alikuwa na bar yake hapo mtaa wa Nkurumah na na ndipo hasa recipe ya Makange ilitokea pale maana walikuwa na wanatengeneza kuku aliye...
  15. Mtimti

    Hivi ni nani anapaswa kuwa mshauri wa masuala ya ndoa au mahusiano?

    "Hakuna ndoa ya mfano" Ni wewe mwenyewe na mwenza wako ndio mtaamua mtaishi kwa style gani maana mpk umeamua kuoa inamaana kuwa umeshapevuka kimwili na kiakili.
  16. Mtimti

    Hii imekaaje Cheti Cha kuzaliwa kuanfikwa"This certificate is not proof of citizenship"?

    Cheti cha Uraia sio uthibitisho wa Uraia. Nchi zote duniani zinafanya hivyo. Mtoto akizaliwa sehemu yoyote duniani lazima apewe cheti cha kuzaliwa (sawa na binaadam akifariki nchi yeyote basi kitatolewa cheti cha kifo.) Ni marekani pekee ambayo mtoto akizaliwa huko na akiwa na cheti cha kuzaliwa...
  17. Mtimti

    U.S.A vs U.K

    USA- sweater UK - jumper
  18. Mtimti

    U.S.A vs U.K

    USA - sneakers UK - trainers
  19. Mtimti

    U.S.A vs U.K

    USA-yellow cab UK-black cab
  20. Mtimti

    U.S.A vs U.K

    USA -subway UK- underground
Back
Top Bottom