Hoja1:Wewe kutokuwa na Biblia original au kutokujua ipi ni original hakufanyi isiwepo,nyie ndiyo huwa mnatabia za kuseama pesa hazipo?Usiseme pesa hazipo sema sina pesa kwa nini unajumuisha na wengine?
Hoja2:Umesema hakuna uthibitisho ya kwamba wanafunzi wa Yesu waliandika injili?Wewe tupe...
Una mikwala ,unaleta maneno ya Kigiriki,sijui kilatinji ili watu wadhani uko deep kumbe unachukua sehemu unapaste kama yalivyo hata "font" na "style" zinaonekana hujazibadilisha umechukua sehemu umeleta zigo kama lilivyo.Kuna muda unaleta tu vitu haviendani kabisa na kinachojadiliwa.Vipi unataka...
Mkuu utajishusha status yako kuna ndugu zako wanakutegemea hapa kwa majibu yako na maswali yako,na hapa pia huwa mnakosea "kujifanya hamjui na kuuliza maswali yasiyo na msingi".Naamini unasoma biblia otherwise hausomi Biblia ila una access na website/Vitabu za jamaa zako walioweka maswali...
Kama nilivyosema mwanzo w a l e j a m a a (Yahaya mpe MIC) wamewapoteza sana,na inaonekana mna program maalum yakufanya upotoshaji.Nimegundua uwezo wenu sasa naomba uniruhusu nikufundishe kama mtoto wa darasa la kwanza,nimeona jinsi ninavyokuelezea huelewi una lengo lako,najua kabisa unajua...
Kwa nini?Mimi hawa jamaa nilijua unawapa kibano hapa ndiyo sababu nikakuambia ulete majibu hapa lakini hawa ni saizi yangu,nawajua hawa wewe unaeza enda likizo mimi nitamalizana nao,hawana hoja nzito wana maneno mengi ya kulishwa 🤣🤣🤣
Kama hoja yako nikiona kuna umuhimu wa kuijibu nitakujibu sijibu kila hoja ndugu yangu,hapo nimekujibu juu ya huyo uliyemtaja au hujaelewa nilichokiandika.Ungekuwa msomaji wa Biblia ungeelewa kwani mengin nimeandika ni kwa mujibu wa biblia.
Unachotakiwa kujua hizi ni nyakati za mwisho na Neno la Mungu lazima litimie,itakuwa katika nyakati za mwisho watainuka watumishi.................Jihadharini na mbwa mwitu waliovaa ngozi ya kondoo.......msiziamini kila roho bali zijaribuni kuona kama zinatoka kwa Bwana...Watu wangu wanaangamizwa...
Unazidi kuprove nilichokisema juu yenu wapotoshaji wakubwa,mnatafuta maandiko mnayageuza mnavyotaka.Haya umesema Yesu alikuja kwa ajiliya ya wayahudi tu na hivyo ukristo haufai kufundishwa kwa watu wengine,wewe au huyo mwandishi wako una conclude haya ndiyo mawazo ya Yesu.Mtazamo wako au wa...
Huo ni utoto ulio nao siku ukikua na kujua Mungu anavyotenda kazi utaacha tabia za utoto.Kwa Mungu kilicho cha muhimu ni uponyaji wa Roho kwanza na wala siyo mwili.Yesu akasema itamfaidia nini mtu akiupata ulimwengu wote na kuipoteza nafsi yake?
Kama ulikuwa hujui kabla Mungu hajamponya mtu...
Kuiamini bibilia hutaki ila kumwamini huyo aliyeandika hayo uko tayari?Why?Yanaendana na sumu ulizolishwa.
Mngekuwa mnatafakari mnayoelezwa ma walimu wenu mngekuwa mhamia huku kwani kuna muda huwa wanawalisha matango pori wazi wazi ila kwa kuwa ufahamu wenu umetiwa giza hamuamki.
Siku moja...
Huwezi kujua mpaka utenge muda usome Biblia na ukubali kufundishwa na waliokutangulia otherwise nabaki kuwa sahihi juu yenu,hoja zenu hazina nguvu.Ebu nisaidie kitu nyie huwa mnavaa pete za ndoa?Na kama mnavaa pete za ndoa huwa mnavaa zaidi ya pete moja?Sasa tafuta video za viongozi wako ,kisha...
Kama nilivyosema mwanzo hoja zenu hazina nguvu,kwa hiyo hapo neno "according to " ndiyo limewaletea shida?Mpaka mkakusanya watu uongelee neno according tu?
Swali halijibiwi kwa swali,toa majibu ya maswali niliyokuuliza acha kurukaruka.Inakuwaje Yesu anakuwa mwana wa Adam?Na kwenye kitabu cha Mathayo wanamweleza kama mwana wa Daudi,mwana wa Abrahimu kwanini wanamwiita hivyo na wakati tunajua alizaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu?Wewe si unaijua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.