Search results

  1. ako me maste

    Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Nina mfano ulio hai na in most cases wanaume ndio chanzo, yes kila mtu anamakosa lakini kwa nn la mwanamke ndio lionekane kubwa na lisilosameheka. kutofautiana kupo as long as hakuna malaika. nilikutana na situation moja na mwanaume anaambiwa basi kama mm hunitaki basi angalia mwanao still...
  2. ako me maste

    Wapi nitapata hii tamthilia ya kifilipino

    ile nafikiri ilikuwa ni stolen moment ndio kulikuwa na kaka aliungua uso
  3. ako me maste

    Sasa tunazaa kwa uchungu na kula kwa jasho

    kinachotokea ni kuwa maisha yebadilika na baadhi ya wanaume hawataki kutimiza wajibu wao, au upande wa pili wadada wanataka kuwa na watoto tu mwisho wa siku yeyey ndio baba na mama pia. anazaa kwa uchngu na kula kwa jasho pia
  4. ako me maste

    Inakuwaje useme eti umepata mimba ya bahati mbaya?

    Unaweza ukawa sahii katika hili ila ni wanaume wangapi ambao wako na wapenzi wao na wanataka kufanya mapenzi na wakati huo huo mwanamke anajua yupo katika siku za hatari na bado akamg'ang'aniza kufanya mapenzi hata kama kinga hana kwa kisingizio kuwa atamwaga nje na ikashindikana???????
  5. ako me maste

    Inakuwaje useme eti umepata mimba ya bahati mbaya?

    NAfikiri kuna vitu vingi sana vya kuangalia hapa, mapenzi wanafanya watu wawili na wote wanajua kuwa kunauwezekano wa kupata mimba so wote wanakuwa responsible syo mwanamke peke yao. kama unaona huwezi kukabiliana na matokeo ya sex kwa nn ufanye????? na mara nying majuto huja baada ya tendo...
  6. ako me maste

    Nilidhalilishwa sana lazma nimuumize

    hahahahahhahahhaha ur so fun, sasa hapo kuna cha kujifunza? kuwekwa loud speaker unasema umedhalilishwa???? endelea na maisha yako usije ukapata laana bure ukaja kujutia baadae
  7. ako me maste

    Wanawake mlioko kwenye ndoa njooni hapa tujikumbushe kidogo....

    may be tutakuwa tunafikiri tofauti ila kimtazamo naona kwamba mume ndo anatakiwa autunze ubavu wake. kama mke ameumbwa kwa mbavu/ubavu wa mume nadhani ni mume ndio anatakiwa autunze ubavu wake ili kuepuka madhara yanayoweza kumpata kama mbavu itavunjika. ni mtazamo tu
  8. ako me maste

    Nampenda lakini hanijali

    du! kweli mapenzi hayaeleweki, wengne wanafurahia na wengne wanaumia any way kama utaamua kuoana naye kisa unampenda na uendelee kuumia kazi kwako mana hakuna kitu cha msingi duniani zaidi ya kuwa na furaha na amani ya moyo lea mtoto wako endelea na maisha yako mana kama hajali feeling zako na...
  9. ako me maste

    Jinsi mapenzi yanavyonichanganya

    pole sana kwa masihibu hayo ila kwa ushauri tu ni kuwa ndoa ni lazima ijengwe na upendo ksti yenu na si sababu nyngne si huruma wala kilio kinachokufanya uingie kwenye ndoa isije ikawa ndoa ndoano. tafakari na kufanya uamuzi ulio sahii
  10. ako me maste

    Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

    ni vema akashauriana na daktari anayemuhudumia kuhusu kufanyiwa OP au la ingawa mama mwenyewe hata kama hana matatizo anaweza kuamua kuzaa kwa OP. Muhimbili ni pazuri pia coz kuna madaktaribingwa wengi na hata gharama ni ndogo ukilinganisha na hospitali za Private mana. kuna kina Dk. Hellen...
  11. ako me maste

    Anataka mwanae

    sina utaalamu sana katika hilo ila naamini kitu kimoja., baba hawi baba just kwa kuwa alikupa mimba je malezi kwa mtoto yalikuwaje? alishamkataaa je leo atasemaje kuwa ni mtoto wake? je asingezaliwa je angedai mbegu zake au? wanaumea wengine ni washenzi sana na kuwafanya wanawake kama viraka na...
  12. ako me maste

    Kati ya mwaka 2008 mpaka sasa,ndoa nyingi zimevunjika,mahusiano hayasimami,mifarakano imezidi

    samahani mtoa mada, hivi umeshaingia kwenye ndoa? kuna mambo mengne yanafika kikomo na kuona ni bora divorce hata kama hautakuwa na amani ailimia mia ila atlest kuna makwazo mengne ya kila siku utakuwa umepunguzana nayo.
  13. ako me maste

    Kila mwanamke ana dream ya kuwa na bwana wa Kisukuma

    naunga hujanasilimia mia tan, mana hayo unayozungumzia yamenikuta ki ukweli, kwa niliyekuwa naye hana kujali wala nn na wanataka kukutreat kama anavotreat wadogo zake/. hizo story za kupenda na kujali nilizisikia ila ninachokiona kwake hata mwanaume mwenzake anaweza akamshangaaa. du! swala la...
  14. ako me maste

    Nanyimwa unyumba kwa sababu ya mimba

    kama ni ubinfsi we utakuwa umezidi na unachokifikiria ni ngono tu bila kujali hali ya mke, hv unadhani ye anakuwa hana hisia za kufanya mapenzi jaman? au ye mti? kama utakuwa umeamua kuoa basi usitake mtoto na uombe mungu akuepushe na majaribu ya aina hyo? uliapa kukaa naye kwa shida na raha ndo...
  15. ako me maste

    Heee! sipend anavyochat,nifanyaje aache?

    we ongea naye tu, na inawezekana unapata sms chache labda huwa hujibu kwa wakati au muda mwng uko busy na shughuli zingne hasa pale anapohitaji kuchat nawe. ongea naye hope mtaelewana tu
  16. ako me maste

    Nanyimwa unyumba kwa sababu ya mimba

    yani umenipa hasira vibaya mno any way acha uselfish eti mimba yake je wewe hauusiki na huo ujauzito? acha kujifikiria zaidi wewe kuliko mwenzako.
  17. ako me maste

    Mke wangu halali na mimi chumbani, analala na Housegirl. Msaada

    pole sana, hakutakuwa na tatizo lolote kama utaamua kumvumilia mana hali hiyo inaweza kuwa inachangiwa na ujauzito alio nao na pia wakati mwngne katika hali hyo mama anaweza kukosa hamu ya tendo la ndoa au kutotaka kuwa karibu na mwenzi wake so be patient na pia unaweza kuuliza kwa daktari...
  18. ako me maste

    Mtindo mpya wa mademu wa facebook

    ur so fun, sasa hata kama angekuwa hajaziweka picha hadharani ni lazima angekua na uhusiano na mtu mwingne tu. kukomlewa wew hapa nikupitia hizo picha anazozipost na siyo kwa kutumia mwili wake. au ulikuwa unataka asipate mtu mwingne wa kumliwaza kjameni abaki tu anasosnoneka kwa sababu...
  19. ako me maste

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    jiulize ww mpk sasa umemsaliti mungu wako mara ngapi? ni afadhalia alivyoamua kutoka huko kuliko angeendelea kubaki na kuwa mnafiki kwamba ni mtumishi wa mungu na upande mwingne anamambo ambayo haruhusiwi kufanya kwa nafasi ambayo angekuwa nayo. we are not in any position to judge him. gday
Back
Top Bottom