Maneno haya angesema mzee mwana KJJ kwa sababu muda wote yeye yupo huko kjjn ndio angesema hajui kwa nini TZ ni masikini.Kauli hiyo kutolewa na JK ni kututukana sisi watz.Jk amekua serikali kwa muda mrefu sana,naamini kwamba ni mambo mengi sana anayajua.Kama kweli mtu umekomaa kifikra huwezi...
Master J ninaye muongelea ni huyu aliyekua eti Jaji wa Bongo Star Search iliyomalizika hivi karibuni na kushuhudiwa na mamia ya watanzani.Kwa bahati mbaya siku hiyo sikuweza kuhudhuria mpambano huo Live.
Baada ya siku kadhaa nilibahatika kuona marudio ya tukio hilo lililofanyika pale Ubungo...
Ni jambo la kushangaza sana tena sana,wasomi tena Maprofesa eti wa UDASA,mnasumbua vipara vyenu eti kutaka Bush asije TZ hivi mna akili sawasawa?Hizo sh.billion miasaba mngezitoa wapi,What I believe is that Proffesor has a lot of things to do and not this stupidity things eti Bush asije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.