Search results

  1. H

    Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

    Ww ulishaondoka chadema,wanachadema wameridhika na majibu aliyoyatoa utatumika na ccm kwa style ya kishamba na kutupwa kama kondomu baada ya kutumika,ww na shonza mmeingia mlango wa kutokea Rip bro
  2. H

    Kashfa sekta ya Elimu: Kwa hili CHADEMA mmekurupuka

    Ww mburula hata ukiondoka huna faida kwa upeo wako mdogo wa uelewa.Maana ya accountability ni kwamba endapo kutatokea jambo baya kwenye wizara/idara unayoiongoza aidha kwa uzembe wako au wa walio chini yako unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.Maandamano ya chadema ni kumshinikiza kawambwa kujizulu...
  3. H

    Kwa haya, Mbowe na Dk. Slaa hawako radhi kwa hiari yao kuachia madaraka CHADEMA

    Hii kauli haiwezi tolewa na mtu makini kama dr.slaa amepika mwenyewe huyo gamba
  4. H

    John Mnyika na Sakata La Maji Ubungo, Waziri Aanza Kuwajibika

    Mnyika hongera sana,ndugu zangu propaganda zinazofanywa na magamba ni hatari kwa mustakabali wa nchi yetu na zimetuletea athari ambayo inaikabili nchi,tuwe makini nazo maana wanataka cdm iache kudeal na mipango ya m4c waanze kujibizana nao na mara utaiona 2015 hiyo
  5. H

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Kumekucha nn,form four ya miaka hiyo ni zaidi ya digree ya chup ya juliana shonza,marehemu kawawa alikuwa la saba hapo unaonaje!tujadili matatizo ya watoto wetu kufeli kuliko kuzungumza utumbo huu.
  6. H

    Kinana kusimamia uchaguzi nchini Kenya

    Hawa raia wa nchi nyingine walipewa uraia wakiwa watu wazima lazima waonekane tofauti kwani hawajakulia tamaduni zotu mara wanafurugu,majizi na majangiri.Unaposhutumiwa juu ya jambo fulani unapaswa kuzijibu
  7. H

    Pendekezo:Iitishwe kura rasmi ya maoni juu ya utendaji wa rais na serikali yake!

    Wazo lako ni vigumu kufanikiwa japo umuhimu ni mkubwa.Katiba yetu ni kweli haijatoa njia mbadala ya namna ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais nje ya bunge lakini imefafanua kuwa umma ndo wenye mamlaka ya kuweka na kuondoa dola madarakani.Hivyo njia pekee ni umma kuamka na kuandamana kama...
  8. H

    Simba sc vs libolo!

    Jamani wadau naomba mnisaidie kama ikitokea simba kashinda goli 2-1 itakuwaje?
  9. H

    Kikwete's Regime Exposed: Activists report to US Congressional Committees... For Your Eyes Only

    Naomba hii thread mmbadilishe neno zitto lisomeke zito
  10. H

    Mwanakijiji, huu ni UDINI pia...

    Infact kuna baadhi ya hoja uko sawa kama kuendelea kwa vitendo hivi bila serikali kuchukua hatua ni uzembe wa serikali,hoja ya mwanakiji ni kwamba wakati serikali imekaa kimya na baadhi ya viongozi wa muslim wanaendelea na uchochezi pengo yuko kimya hali ilipofikia zisipochukuliwa hatua za...
  11. H

    Magu: Viongozi wa CHADEMA washikiliwa na Polisi

    Wawafunge na kamba?nawe kuwa na akili hao makamanda wanafanya shughuli halali ya kisiasa unawafunga vp?
  12. H

    Biharamulo

    Hivi chato si ndo kwa mzee wa rais ongeza safari za nje a.k.a mze wa mpige mbizi,acheni kulalamika chukueni hatua as a public,rais jk ahadi zake hazitekelezeki.
  13. H

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Watu wengine wanataka tufungiwe humu jf unawezaje kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu umeambiwa vipeperushi vilitembea baada ya padre wa kwanza kupigwa risasi kwamba bado mapambano yanaendelea,ww huna uzalendo na huenda unavaa suruali fupi.
  14. H

    Ulikwisha wahi jiuliza Ishara za kufa chama cha siasa ni zipi?

    Mkuu sio mlango wa kati,ni mrengo kwa hiyo maana yake ni mchumia tumbo watu wa aina hii huweka sare kwenye begi akikaribia ukumbini anaivaa ili apate chochote hata cdm siku tukiula na yy yumo
  15. H

    Ulikwisha wahi jiuliza Ishara za kufa chama cha siasa ni zipi?

    Ishara ya kuanguka/kufa chama cha siasa.1.viongozi wake kukiuka miiko ya uongozi.2.viongozi kushindwa kusimamia national intigrity.3.viongozi kushindwa kuhudumia umma,jambo linalochochea chuki kwa chama.4.kukandamizwa haki mbalimbali za kiraia.5.kudumaza/kukandamiza demokrasia. Hizo tano...
  16. H

    Mgogoro wa Kuchinja Wanyama Wachungaji Wameanza kukusanya Kati Za CCM Madhabahuni!!!!

    Sasa hapo una nchi?national intigrity haiwezi kujengwa kwa kuwagawa watu kwa misingi mbalimbali.NI JUKUMU LA SERIKALI KUJENGA UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA,nje na hapo wawapishe watu wenye uwezo wa kujenga intigrity ya taifa.
  17. H

    Mgogoro wa Kuchinja Wanyama Wachungaji Wameanza kukusanya Kati Za CCM Madhabahuni!!!!

    Hii nimeipenda sana mkuu,tena kama uhuru huo utatolewa utajikuta tumerudi mle kwa kuwa mkristo hataweza kuchinja nyama ya biashara mwenyewe,kinacholeta shida ni kauli ya serikali kuwa waislam ndo wenye haki kwani kwao ni sehemu ya ibada,kama ni sehemu ya ibada wakristo hawako tayari kushiriki...
  18. H

    CHADEMA ilikuwa sahihi kuhusu katiba mpya

    Unafiki ni kwamba unataka kuwaaminisha wtz wasifanye mabadiliko ya uongozi kwa hoja dhaifu kuwa binadamu wote ni sawa hata Cdm wakiingia mambo yakuwa yaleyale.
  19. H

    Jerry Silaa na Kampuni ya 'Green Waste Pro Ltd'

    Hawana undugu dr ni wilbrod slaa na meya wa ilala ni jerry silaa nadhani hata haya majina haya hayafanani
  20. H

    Campaign: "Tanzania imara" ndio imani na dini niipendayo, ukiniunga mkono wewe ni rafiki mwema

    Tanzania kama nchi serikali yake haina dini isipokuwa watu wake wapo na dini aidha mkristo,mwislamu au mpagani,viongozi watakaoongoza serikali watatoka kwenye dini hizo tatu,kwa nn ww umdiscolify dr.slaa?tunabaki kuwa ni propaganda za kuwachonganisha watanzania hatuzitaki.Naomba nikozomee...
Back
Top Bottom