Vyombo vyote ulivyovitaja ni tofauti na TTN...TTN is a teachers professional body for teachers like Tanganyika Law society for Lawyers,,Tanzania board of engineers for engineers,Tanzania Press clubs for journalists etc,etc,,waanzilishi wa TTN ni walimu wenye fani...
Pole sana ndugu najua una machungu sana lakini iposiku mambo yataenda sawa.katiba hii imetungwa na mwalimu kwa ajili ya mwalimu wa Tanzani..imedhamiria kumkomboa mwalimu kwa vitendo na bila malipo yoyote..watanzania waache tabia ya kulalamika sana bila kuchukua hatua za vitendo..karibu...
Wadau wote wa Elimu mnakaribishwa kutoa mawazo chanya ili kuboresha tukio hilo la kihistoria,,TTN ni taasisi iliyoanzishwa na kusajiliwa na walimu ikawa na lengo kuu la kuboresha fani ya Ualimu Tanzania..Soma Katiba ya TTN hapo chini..pia visit TTN facebook page for more details!!
Tunaomba wadau wa maendeleo Tanzania kuchangia mawazo chanya ili kuboresha uzinduzi huo wa kitaifa siku ya tar;05/10/12..jijini Mwanza..TTN ni taasisi mpya ambayo imeanzishwa na kusajiliwa na walimu wenyewe kwa dhumuni la kuboresha fani ya Ualimu Tanzania...Tazama Katiba ya TTN apo kwenye...
Habari za hapa wanajamii?mimi ni njuka humu ndani lakini ni mbabe kwelikweli..natumini wote mko vizuri,,nawatakia ufanisi katika shughuli za ujenzi wa Taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.