Search results

  1. Mr. Wise

    Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Hii pesa mil13 ilipaswa kuwalipa walimu maana wao ndio uzalisha 1. Ma engineer 2. Ma doctor 3. Wabunge 4. Waasibu 5. Manesi nk
  2. Mr. Wise

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Kuna siku I think baada ya raisi mama Samia kuapishwa, Mstaafu Mabeyo alisema kuna kitu aliambiwa na Magufuli atamfata ofsini amueleze. Iko ndio nilitamani sana kusikia nini?je kililihusu taifa ama?na je mzee Magufuli wakati anaaga na mengineyo akumwambia chochote cha kitaifa Mstaafu Mabeyo...
  3. Mr. Wise

    Wanawake wa Babati ni wazuri kuliko uzuri wenyewe halafu hawaringi wala

    Hivi hao wanapatikana wapi?maana nimekaa Babati kikazi week nzima ila sijawaona.
  4. Mr. Wise

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Hana akili, ana halalisha ujinga kuelezea point muhimu. Point anayo ila amehalalisha point yake kwa kuongea pumba.
  5. Mr. Wise

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Unasemaje????.....
  6. Mr. Wise

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Duh, sasa itakuaje, maana yametimia[emoji2][emoji2][emoji2]
  7. Mr. Wise

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Kwann kiongozi, bado sijapata uhusiano..unaweza chambua zaidi
  8. Mr. Wise

    Kinachoendelea Loliondo: Shame on them! - Mwinyi, Mkapa, and Kikwete!

    Kumbe haya mambo ninayosikia sasa ni muendelezo tu
  9. Mr. Wise

    Nape, huwezi kushindana na TEC

    Amekaza, amesema alinyamaza na ataendelea kunyamazaa
  10. Mr. Wise

    Serikali isikubali mtafaruku wa Bandari kuchukua mkondo wa kidini, ni ngumu kuidhibiti

    Najaribu kuwaza yani hivi ni kweli: TLS-Imekosoa mkataba kisa mwekezaji mwarabu ama waislam na rais muislam Wapinzani-Wamekosoa mkataba kisa mwarabu ama waislamu na rais muislam Wabobevu wa Kisheria-Wamekosoa kisa mwarabu ama waislamu na rais muislam TEC- Wamekosoa kisa mwekezaji mwarabu ama...
  11. Mr. Wise

    Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

    Shida nadhani ilianza walipotamani kusikia tamko lake yeye alijibu kua ameziba masikio. Nahisi hizi ni jitihada za kumzibua masikio
  12. Mr. Wise

    Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

    Hivi hizo HGA baada ya IGA zinatua na msaada gani once tumeshindwana na kwenda kwenye kesi nje...Je itatazamwa hizo HGA ama IGA?kama ni IGA je hizi ngojera kua HGA itakua nzuri zina msaada gani, badala ya kukomaa ku solve IGA ndio iwe nzuri
  13. Mr. Wise

    Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

    Wanaoleta upuuzi wa Uchama, Udini, Ukabila katika mambo ya msingi ya nchi nashauri wapuuzwe tu. Yani mtu anakomaa na kamstari kamoja tena akitaka mifano ya kwengine akijua fika nchi zinatofautiana sheria, tamaduni,katiba etc. wakati kuna document nzima yenye mapungufu.
  14. Mr. Wise

    Bendera ya Kenya jengo la Burj Khalifa iliwekwa 2019, ni nani amemuongopea Rais wetu kuwa imewekwa karibuni?

    Nimejiuliza mara mbili mbili, kwamba hata kama imewekwa leo. Je ina faida ipi kwetu ama kwao kama Taifa.?
  15. Mr. Wise

    Update Kesi ya wananchi kuhusu bandari mahakama kuu Mbeya

    Jamaa wangeweka wazi iyo michango inatumwa wapi. Wa Tz watafanya miamala chap chap, hii ni swala kubwa sana.
  16. Mr. Wise

    Mtego wa kisheria katika kile kinachoitwa mkataba wa bandari

    Djibout kipendele iko waliwekewa na ilipokuna fursa wakataka kuitumia DP world alizuia. Jamaa wakavunja mkataba, DPW akaenda washitaki. Ipo video kabisa aljazeera inaelezea ilo swala. Ni ajabu kuona wabunge wetu hawaoni. Wao wamekomaa kuona Bint anabonyeza kontena linashuka utafikiri hayo ndio...
  17. Mr. Wise

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa wenye interest ya kupiga pesa jisajili hapo: Receive $10,000 in virtual funds and learn how to trade with a market leader https://one.exness-track.com/a/imk4cszitn?platform=mobile&pid=mobile_share
  18. Mr. Wise

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kabisa kaka, ingawa si jambo rahisi kuacha hii kitu maana ni kama ina addiction. Nadhani matokeo ya kule ndio yamenishawishi
  19. Mr. Wise

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu sasa ni rasmi nime retire hii game, sababu kuu ya ku retire ni baada ya kupata business/ishu nyingine ya online inayonipa pesa kuzidi hii. Ndugu zangu Buddy wakusoma DeepPond Proffesor Kikinga and all nitawakumbuka sana katika haya mapambano. Niwatakie muendelezo mwema sana. Asante sana!
Back
Top Bottom