Search results

  1. D

    Naomba kuuliza,je naweza kupata Laptop nzuri kwa bei ya 300,000?

    mkuu naomba unitumie na.yake ya simu au email yake
  2. D

    MGOMO WA WALIMU WAPAMBA MOTO: Habari na matukio katika picha

    Mahenge hali ni mbaya, shule zote zamsingi za mjini walimu wamegoma. mkuu wa wilaya amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri kutoa tangazo redio ulanga kupinga tangazo la katibu cwt (w) la kutaka mgomo uendelee na kusisitiza kwamba mgomo ni halali. Hivyo mkurugenzi ametangaza kupitia redio ulanga...
  3. D

    CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

    hapo ni patamu!. kidato cha sita kanda ya mashariki wapo kwenye mitihani sasa sijuwi itakuwaje.
  4. D

    Sifa za wanawake/wadada wanene

    mmh! lakini ni kweli mkuu
Back
Top Bottom