Search results

  1. King Zenji

    Dr Magufuli katika ujenzi wa barabara

    Barabara karibia zote..KIWANGO HAKUNA..Barabara ya LAMI ina mitaro katikati,,,Ulishawahi kuona wapi..mfano kipande cha Chalinze mpaka Mlandizi..ni hatari kubwa....mashimo MAKUBWA MAKUBWA barabaran..na kila siku yanasababisha AJALI mbayambaya...Magufuli huyuhuyu yupo tuuu...ANAANGALI (kumbuka...
  2. King Zenji

    John Komba atishia kuingia msituni endapo wananchi wataamua Serikali tatu

    Ha ha haaa...Bonge Nyanyaa.....lol
  3. King Zenji

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Ha ha haaa...sasa wamebakia na RASIMU lao MBADALA walilotaka kuliingiza kwa nguvu barazan..waliingize peke yao sasa tuone ka litapata UHALALI huku kwa wananchi
  4. King Zenji

    Waumini Wa Serikali Mbili Tuvuteni Sox Haikuwa Wiki Njema Hii: Tubadilikeni Now!!

    Kweli ipi sasa mkuu hapa...TUWACHOMOLEE WAYA kama leo wakat Lissu anawasilisha au??....but technic hizi ndo zinazidisha hasira mwa wananchi wengine...embu tupime tu ukweli huu...ka vp na iwe MBWAII tu
  5. King Zenji

    Waumini Wa Serikali Mbili Tuvuteni Sox Haikuwa Wiki Njema Hii: Tubadilikeni Now!!

    ...Wametuzidi kwa hoja MUJAARAB Le Mutuz..na mie sasa naona fika kabisa kwamba TATU zinatakiwa..na huwezi KUWAZOMEA kwan wanakupa hamu ya kuendelea kuwasikiliza aisee...acha tu 3 zije..nimekukimbien na zenu 2 zisizo na kichwa wala miguu
  6. King Zenji

    Waumini wa Serikali Mbili Sasa ni Wakati Wetu wa Kujipanga Kujibu Mapigo The Damage Was Done Today!!

    Warioba hakuyatoa hewan hayo alokua anayasoma leo Le Mutuzzzz.....ajabu kabisa...katika Taasisi ambazo tulitegemea zingeushadidia muungano huu wa 2...walipoombwa kutoa mawazo yao..nao walitamani UTATU...soma vizuri walichopendekeza Baraza la Ofis ya Wazir Mkuu.....ni mule mule tu 3-0.....acheni...
  7. King Zenji

    Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

    Inashangaza sana...inaonekana wanachokihubiri huku nje sio WANACHOKITAKA...nimefurahi Warioba kasema wazi wazi walichopendekeza wao kwa Tume...walipokua wamemkalia kooni KIFICHO kumbe ndani yake karibia Taasisi zote zimekuja na kitu kile kile..cha 3-0 ha ha haaaa
  8. King Zenji

    Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

    Ajabu kabisa..katika maelezo ya Jaji Warioba..michango ya Taasisi nyeti nchi hii...ZIMEPENDEKEZA mfumo wa Serikali 3...ingawa sio wa moja kwa moja...Mfano...Ofis ya Wazir Mkuu imetaka kuwepo na Mawazir Wakuu 3...na Raisi Mmoja tu...manake hawa wawili...kila mmoja ata deal na mambo ya Upande...
  9. King Zenji

    CCM watoa waraka wao katiba mpya, unaopingana na mapendekeza ya tume ya Warioba

    Na wala hatuwashangai...si wanajua tulishasahau..na ni kawaida yetu kusahau..kwa sababu wanajua sie ni mambumbu...ni hivi huo utaratibu ulikuwepo zaman..na kila kukicha malalamiko yalikuepo...sumu yake ni tatu au moja kwishaa
  10. King Zenji

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    .........Hiki CHAMA kinakufa aisee,,,,,CDM hawana haja ya kuogopa wala kujihisi WANYONGE,,hakika bidii zenu zinaonekana,,Hakuna MIKOA ilio migumu kubadilika kama hio mikoa ya PWANI,,,na isitoshe DAFTARI wanalo tumia ndio lile lile la ENZI zilee za MCHAKACHUO,,ina maana VOTERS wao wengi...
  11. King Zenji

    Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    Ha ha haaa...hivi hata kama ina UKWELI wowote clip ile iso na mwanzo wala mwisho..muhusika mkuu (LWAKATARE)..akisema nilikua natengeneza MOVIE flan hivi..na ile ni sehem tu ya SCRIPT ya movie husika ....mtamfanya nn???,,,manake haonekan muhusika mwingine yeyote zaid ya yule dada (sijui muhudumu...
  12. King Zenji

    Mh. Mbowe kuhutubia mkutano mkubwa leo Mbeya

    ''''Duuh hii nyomi ndo inaelekea huko,,,ni balaa :rockon:
  13. King Zenji

    Lukuvi: Kuna watanzania wana 'aleji' na neno CCM!

    NGOWILE ,,,,,,Daah hakika NILIKOSA uhondo kwelikweli wa Q and A hio,,,manake maswali hayo ndio HASWAA yanatakiwa yajibiwe na watawala wetu,sio watufungashe tu kama KUKU kwenye ma BOKSI,,, Hongera NIKO na ungefaa ukalie kile kiti cha MTANGAZAJI yule.
  14. King Zenji

    Tell Tanzania hands-off Lake Malawi (Malawi quasi religious organization ), PAC urges govt:

    ,,,,,,,,,Na waache ujinga,hivi Meli hii hapo chini muda woote huo wa UHAI wake ilikua na inafanya kazi zake NCHINI Malawi????,,,,,uelewa ni kitu muhimu sana,hivi boda la ZIWA lenye mawimbi makubwa kama haya si litakua kila siku linahama hama kila siku,nani atakubali kuwa na MPAKA unao hama hama...
  15. King Zenji

    Malawi, Tanzania fail to agree on Lake Nyasa border dispute

    ,,,Sijasema kama CDM walikuwepo na we unajua fika HAWAKUWEMO kwenye huo msafara,,lakini sisi wanachi, bila kujali akina CCM au CDM katika hili tunahitaji kuongea sauti moja,,,,,ajabu KABISA katika watu tunaotegemea wangeficha udhaifu wa utetezi wa TZ katika ishu hii,,akina NITAKUPATEJE wao ndio...
  16. King Zenji

    Malawi, Tanzania fail to agree on Lake Nyasa border dispute

    ,,,Inawezekana hata CDM ikafia hapa,kwani hawa wanaotoa mawazo ya KUASI nchi yangu akina NITAKUPATEJE si ajabu ni viongozi wa CDM,na kwa Mtanzania wa kawaida kabisa hawezi kuaminishwa kiurahisi kabisa kwamba nchi hii mpaka wake unaishia kwenye NCHA ya maji.Hivi Ndugu yangu NTAKUPATEJE...
  17. King Zenji

    Kwaito Kwenda Mbele . . .

    ,,,,,,,,Kaaaah kitu kina DOUBLE chain kwa MUGUU,,,,nakwambiaje na MUUNGANO HATUVUNJIIIIIIII mama mia:israel: :A S 12::A S 12:
  18. King Zenji

    Kwaito Kwenda Mbele . . .

    ,,,,,,,Kaka DADA zetu WAZURI bana we si mchezo.
  19. King Zenji

    Uteuzi wa Dr. Hussein Mwinyi Wizara ya Afya Umezingatia Masuala ya Muungano?

    Jamanai naomba kueleweshwa,hivi MKUU ametumia KIGEZO gani kumteua Mh. MWINYI kuwa waziri wa AFYA ilihali wizara hii si ya MUUNGANO na wala yeye si muwakilishi wa MWANERUMANGO tena,manake term iliopita alikuwa waziri wa wizara tajwa kwa kuwa alikua anawakilisha jimbo lililopo huku TANGANYIKA,sasa...
  20. King Zenji

    Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

    Duuh kweli bi dada anapiga fergie ka kawa,cheki hpa!!!
Back
Top Bottom