Search results

  1. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Hahaaa! Mimi sitaki Mume wangu afe kwa laana zangu, lakini huwa naiombea michepuko mabaya yawafike, nashukuru Mungu kwa kiasi fulani ni na Amani ya nafsi" na michepuko iliyojifanyaga kuloga ilishindwa, naamini Mungu alisimamia hili na Mume wangu ndiye aliyegundua kuwa mchepuko unamloga, sala kwa...
  2. G

  3. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Nimsifie baada ya kufaa?? Nirudishe urafiki baada ya kufaaa?? Tulisha tupa kule, mke haitaji faraja anatakiwa Ashukuru Mungu, alimfahamu mume wake vilivyo,. Picha ilinirushia mimi mke wake kunionesha jeraha lilivyo na hakurusha bublic.marehemu alikuwa na guts zaidi ya hiyo.so kafariji familia...
  4. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Seki alikuwa mtu wa karibu sana na familia yangu lakini zarau zake na tabia chafu zilifanya tujitenge naye, siwezi tu kuweka picha ya marehemu hapa cos jeraha lake kwa kweli linatisha na kutatanisha pia familia hawatapenda, mume wangu alienda kumwona akanirushia picha.
  5. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Duh pole, huo mchepuko unajiamini sana yaani kutuma picha za mahaba kwenye simu ya mwenye mke, sipati picha. Me kuna mchepuko uliwahi niandikia sms za kashfa, mume kuzioba akamwekea chuma shingoni. Yaani badala ya kukasirika nilipiga vigelegele. Mbona alihama mji, yupo huko jijini kwenu.
  6. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Seki alijitenga na matajiri, kwaajili ya umachknow na kujifanya yupo juu zaidi, ndiyo sababu wote waliokaribu na huu msiba ni wale wa ndiyo tajiri, hakua na ukaribu na matajiri.mabilionea wapo kibao.
  7. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Hahaha umenicha hoi kweli manake, kuna bank hapa town mume alinituma nimefika bulk bank tellar anaanza eti huyu mwenye account ni kaka yako.?? Nikamuuliza unamtaka??? Akaninunia balaa.
  8. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Makongoro alimponza, walikuwa wanawapandia dau.Seki kwa misifa anataka awe juu ya makongoro so anatoa dau kubwa kubwa.
  9. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Mbona hajaumia shingo??? Mwee mjomba anajua siri ya kifo cha marehemu. Amekalia stuli ya kioo, kilivyopasuka kikarukia shingoni au?? Lakini hajaumia shingo.
  10. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    yaani huyu kijana Mungu amrehemu tu, amebadilishwa na pesa alikuwa mpendwa safi, pesa zilivyoanza kuingia mke anakuja kumtembelea weekend, anamwacha anaenda kupandia dau la kulala na machangu, mke anajirudia zake dar, ikafika wakati akagoma kuja kumtembelea.yaani kamvumilia alifanya umalaya wa...
  11. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Hivi kweli umeona jeraha la marehemu alivyochinjwa,?? Kioo cha namna gani kinaweza kumkata mtu kwa stail ile?? Kimemkata kuanzia mwanZo wa ubavu hadi kiunoni kwanza kwa kunyooka me bado najiuliza,!!! Hakikukita bali kimechinja, na inaonekana sehemu nyingine nyuzi zinaachia yaani anashonwa...
  12. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Yaani wewe acha tu nikujishika na Mungu, me kuna mchepuko uliwahi kuniletea watoto eti hapewi matumizi, anaomba msaada apeleke mtoto hospital. Mume akaniambia msaidie kama unataka nilimalizana naye siku aliyonipa k, lakini ananiganda. Duh nikabaki na hasira huku namwonea mtoto mgonjwa huruma...
  13. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Ni kumwomba Mungu tu, manake mwanaume wa peke yako sidhani kama yupo, mimi nashukuru Mungu wangu siyo muhongaji, cos michepuko huwa inalalamika,. Nikuomba uvumilivu ili tulee watoto, dunia ya leo ndoa zinachangamoto sana, wakati mwingine huwa naangalia wanangu naishi tu kumwaga machozi na...
  14. G

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Inaelekea ulikubali kuwa chini yake, cos Seki ili uwe karibu yake ilikuwa lazima ujishushe, kila kitu ni ndiyo ndiyo. Ukimpinga anaanza kujitenga alikuwa anasonona flan hivi, akawa anajitenga na Matajiri, anatafuta watu watakaomwona wa juu.apumzike kwa Amani.
  15. G

    Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

    Wala bidada hakuwa na makeke, amejishika na ajira yake, anamwacha mume ale ujana lakini ndiyo hivyoo Mungu kaamua yake.
  16. G

    Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

    Mke wake alikuwa anajua mume wake malaya lakini aliamua kuvumilia. Mungu ampe uvumilivu manake wengi tuliokuwa tunamfahamu tulikuwa tunajiuliza anaishije naye? Licha ya kuwa malaya pia alikuwa anamdharau sana tu.lakini ndiyo hivyo bidada aliamua kuvumilia.
  17. G

    Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

    Ilikuwa more than 4 billion, ila alikuwa mshamba wa pesa, akiwa sehemu anataka aonekane yeye ndiyo yeye, machangu wa high class wamzunguke pande zote, maskini hadi sura yake inanijia, dharau za kutosha.kumkejeli mjane wa rafiki yake aliyemuonyesha milango ya Afgem. Loo rest in peace Seki...
  18. G

    Bata mzinga wanauzwa

    Kolobaa upo moshi sehemu gani na unauzaje wa kuanzia miezi 4??
  19. G

    Wapi Kwa Tanzania inalimwa hii, au wapi miche inaweza patikana?

    Watu mmeweka uzungu mno. Ni miforosadi kwa lugha iliyozooeleka.Meru imjaa tele na Moshi.matunda mekundu machachu bado hayajaiva vizuri, Hayo ya zambarau ndiyo yameiva matamu.tulikuwa tunajipaka mdomoni.majani yake yanapendwa sana na mbuzi. Unaotesha kimti. Na siyo mbegu.nenda Meru maeneo ya...
  20. G

    Low cost greenhouse technology

    Na pia mazao kama nyanya, hoho, na matango hayahitaji maji mengi ndiyo sababu ni mahsusi kwenye gh hivyo msimu wa mvua hasara ya aliye lima open na shed nets ni sawasawa cos shed nets haizuii mvua.tuelimishe zaidi.
Back
Top Bottom