Search results

  1. Maroun MU

    Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

    Ulichokosea kumuacha mpenz wako uliyeweka nae malengo cha muhimi mrudie wa mwanzo umuombe radhi am sure atakufahamu lkn kwa hy atakuzingua
  2. Maroun MU

    Uteuzi wa Jaji Kiongozi Kufanyika Mapema Mwezi Ujao

    Mhmhhm wabongo haoooo
  3. Maroun MU

    NMB tawi la kariakoo Congo mkabala na bigbon ni kichekesho

    Nipo hapa NMB Congo umeme umekatika nw hii dakika ya 5 umeme haujarud na tumezoea kuona Bank umeme ukikatika panakuwa na Generator la automatical ambalo sekunde 3 linakuwa limeshawaka lakin hapa hd mdaa huu hakijawaka kitu na huduma zimesimama......TUTAFIKA NA BANK ZETUUUU HZ....najiuliza...
  4. Maroun MU

    Boss Lady ''a-update'' kurasa yake ya instagram....

    China hasa hv baridi yake unavaa nguo zaid ya nne na makoti mawili...hy picha itakuwa Jux ana jua pswrd zake za instagram akaingia na kuweka hv ila ameenda wrong cz nw ni baridi kali km angekuwa yupo full na Nguo za baridi ingekuwa kwel watanzania waliojaa china wasimuoneee basi ni Jini
  5. Maroun MU

    Zahoro Matelephone akamatwa na Madawa ya Kulevya nchini Oman

    Naona hii habar Tanzanua haijazungumziwa ktk vyombo vya habar ht mara mojaaa...duuuu
  6. Maroun MU

    Wafanya biashara k.koo wagomea mashine za EFD

    Trueeee..........kbss hamna aliyefunguaaaa na mimi np hapaa na UMEME umekatwa na Tanesco nw
  7. Maroun MU

    Wafanya biashara kariakoo wagomaa

    Liveee......hii hapa nipo kariakoo wafanyabiashara wotee wamegoma kufungua maduka yakoo leoo hii mdaa huu kosa machine za TRA na wametoa onyo kwa atakaefunguaaa......hakuna hata duka moja lilofungwaa...na nw TANESCO nao wamekata umeme waooo....Tanzaniaaa hiii
  8. Maroun MU

    Hajui afanyaje msaada wana jf

    Ahsante.ssanaaaaaaa Raman....
  9. Maroun MU

    Hajui afanyaje msaada wana jf

    Hy ni mdogo wangu ambaye anaanza masomo ya Degree ktk chuo cha UHASIBU Dar Es Salaam...lilomkuta leo wakat akigomvania daladala maeneo ya kariakoo akaibiwa walet yake yenye vitambulisho vyote vya bank,chuo,mzanzibar mkaaz na pia number yale ya chuo aliyopewa juzi tuu na pesa kias cha laki...
  10. Maroun MU

    Kumwaga shahawa kidogo na si nyeupe

    hahahahhaahhahaha........hl la punyeto...analijuaa uzur...h
  11. Maroun MU

    Kumwaga shahawa kidogo na si nyeupe

    Msaada........nina rafiki yangu ana kuwa ananisumbua jii ya hili ya kumwaga shahawa kidogo wakati wa ngono na hizo shahawa haziwi nyeupee....je ana matatizo gani au ni maumbileee tuu au hali vyakula vyenye kileta shahawa nying...majibu wataalam wa hili
  12. Maroun MU

    Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

    Mtaki Milion 1 ,Frem unalipia kwa mwezi laki 4 hd 8...alafu kwa siku unauza laki 2 kwa mwaka utakuwa umepata faida km milioni 2 hv na hapo hapo unalazimishwa kununua kimachine chaooo......pumbavuu zaooo
  13. Maroun MU

    Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

    Na wafanya biashara wa kariakoo nao wamevinuniaaa kununq hz machine zao....na yamewekwa kabisa makampun yaooo
  14. Maroun MU

    Kwa mara ya kwanza ulipopata taarifa ya kifo cha J.k Nyerere ulijisikiaje?

    Nakumbuka alikuja Zanzibar 1995 kipindi hiko nikiwa na miaka 5 nilimshika mkono ilikuwa airport wakati nikienda Oman nilikuwa na mama na dada yng...bt nikakaa miaka Oman hd 99 ndipo niliposikia amekufa nililia cnaaa cz aliniambia soma mwarabu mweusi......uje kuitetea Zanzibar na hd leo hii Mama...
  15. Maroun MU

    Salma Kikwete azuru Jimbo la Nebraska, Marekani - Atumia Private Jet!

    hongera kwake abavaa kiasili.....
  16. Maroun MU

    Sifa za mwanamke anayekupenda.. hukion a hana sifa hizi kimbia

    hamna ukwel wowotee hapoo hy aliyepost ni mshenz tuuuu
  17. Maroun MU

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    hahahaha 444...mmeisahau nini
  18. Maroun MU

    Shocking: Al-Shabaab

    hao ni jeshi la Kenya la police
Back
Top Bottom