Search results

  1. V

    Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

    Elisha Osati na Kigwangala ni matatizo ya Madaktari Wafuatao upepo, wanafiki majinuni!
  2. V

    Mkurugenzi wa mawasiliano, Ikulu kutoa taarifa ya safari ya mheshimiwa rais kesho, ni kosa

    Mwamba au Disco Joker, hebu ficha utaahira wako! Unamuogopaje Dj kwa mfano!?
  3. V

    Namuona PM Kassim Majaliwa mbali sana

    Wa msoga si walikuwa na nafasi, sasa wanataka nini tena jamanii, nyakati ziinabadilika, wafanye kilimo, biashara, na kununua vipaji vidogo!
  4. V

    Kigwangalla: Nilichosema kuhusu chanjo ya COVID-19 sio Usaliti dhidi ya fikra za Magufuli

    Huwezi kusupport maana hujajiongeza kutafuta taarifa sahihi za steam inhalations (nyungu), nakushauri somaaaa!
  5. V

    Nape, kweli maisha bila unafiki hayaendi

    Kwani hawa wezi kuishi bila uwaziri??? Watakufaa kwa kuwaza vyeo!
  6. V

    Kigwangalla: Nilichosema kuhusu chanjo ya COVID-19 sio Usaliti dhidi ya fikra za Magufuli

    Waulize Madaktari wako kwanini hawakatazi watu kujifungia kwenye sauna?? Kwani kule hakuna mvuke wa Mapafu kujaa maji? Wakijibu nakuletea maelezo ya kujifukiza
  7. V

    Kigwangalla: Nilichosema kuhusu chanjo ya COVID-19 sio Usaliti dhidi ya fikra za Magufuli

    Halivunjwi Ng'o, mtapata tabuu sanaaa, na mtawashwa sanaaa!
  8. V

    Kigwangalla: Nilichosema kuhusu chanjo ya COVID-19 sio Usaliti dhidi ya fikra za Magufuli

    Hataki zirasimishwe ila huyu huyu atalisifia Taifa la China na Maendeleo yake, kwenye Tiba zote mbili za Asili (Traditional Chinese Medicine - TCM) na Western Medicine, ambapo wamewekeza na kurasmisha kwenye Mataasisi yao Makubwa kama Muhimbili na zaidi ya Muhimbili, na hamna aibu, wala sura...
  9. V

    Kigwangalla: Nilichosema kuhusu chanjo ya COVID-19 sio Usaliti dhidi ya fikra za Magufuli

    Kazi yake kujisifia tuu, eti nguli, my... A.... s
  10. V

    Kigwangalla: Nilichosema kuhusu chanjo ya COVID-19 sio Usaliti dhidi ya fikra za Magufuli

    Huna taarifa sahihi za Steam inhalations, waulize hao Madaktari wako kwenye vitabu vya udaktari imeandikwa au haijaandikwa, waache unafiki wa kutosoma na kusubiri mapokeo ya Wazungu tuu, bila kujituma Kufanya Tafiti!
  11. V

    Kigwangalla: Nilichosema kuhusu chanjo ya COVID-19 sio Usaliti dhidi ya fikra za Magufuli

    Bado wewe Bwana Said Nassor Bagaile, unapinga Tiba Asili, najiuliza ungekuwa Waziri, ungekuja na hizi arguments zako, ulitakiwa ujiongeze kuhusu Tiba Asili imekuwepo kwenye generations to generations, na kujifukiza kumesaidia wananchi wengi, tofauti na unavyopinga, maandiko ya kisayansi...
  12. V

    Muhimbili wamgomea Kigwangala

    Nyungu tunayo huku Nzega Vijijini na sie wapiga nyungu ndio tuliomsaidia Said Nassor Bagaile a. K. a Hamis Andrea Kigwangala kupata ubunge, sasa anatusaliti, lazima ajambe cheche!
  13. V

    Muhimbili wamgomea Kigwangala

    Kabisaa aisee umejuaje! Hahaha!
  14. V

    Muhimbili wamgomea Kigwangala

    Mwanga ni wewe, jitathimini uelewa wako wa Tiba Asili, maana huna tofauti na Kigwa!
  15. V

    Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

    Anatest zali la Mama Samia, kuona kuna njiti ngapi za kiberiti, maana watu wa dizaini hii wasioweza kuishi bila vyeo ni hatari sanaa!
  16. V

    Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

    Huyu Yuda amesubiri Uncle Magu afe aje na uduanzi wake, si wakati inafungwa si alikuwepo, aache upoyoyo wake!
  17. V

    Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

    Usaliti upoo, Kigwa ni Kada wa CCM na Osati pia ni Kada, Kigwa ni mbunge wa Nzega kupitia CCM na Osati aligombea TMK kwa tiketi ya CCM kura za maoni, kula hazikutosha, wanaenda against Ilani ya CCM yenye kurasa 300 ambapo ukurasa wa 139 unazungumzia Tiba Asili, kuuimarisha na Kufanya Tafiti...
  18. V

    Sikutegemea Elisha Osati na H Kigwangalla kuonesha usaliti wa mapema hivi

    Ukisikia Yuda Eskarioti ndio huyu Mwanasiasa wa Nzega Hamis Andrea Kigwangala na huyu mtu anaitwa Elisha Osati. Wakiwa wamenunuliwa na Mtu anaishi Marekani na Mwingine anaishi Ubeligiji, ambao wamenunuliwa na Makampuni ya Dawa ya Hizo nchi. Kiujumla hawa wotee kigwa, Osati, Minja, mnywa CPZ...
  19. V

    Profesa Kabudi aitambulisha dawa ya COVIDOL nchini Ufaransa, wenyeji wake waikubali na kuipokea

    Uchaguzi wa Dawa huwa unamhusu Daktari anayemtibu mgonjwa au mgonjwa mwenyewe kwa kiasi fulani, na uhusika wa Ndugu zake mgonjwa kwa kiasi fulani, kwahiyo kama hakukuwa na Kundi mojawapo hapo ku influence matumizi ya hio dawa, huenda wote hawa kuitumia, uliza waliowahi kuitumia utapata majibu...
Back
Top Bottom