Search results

  1. B

    Nahitaji msaada wa kuwekewa windows 8 nipo Mzumbe/Morogoro

    Mkuu kama unaeza kuja pande za SUA morogoro nitakusaidia
  2. B

    Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

    Wakuu msiogope sap chamsingi ukifika sua we fanya wajibu wako,afu kwawale wenzangu wanaoichukia BAM basi naomba mjipange mapema kwani kuna kitu MTH 102 itawasumbua sana
  3. B

    Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

    Bata kwa kiwango ukijisahau 2 watakula kichwa
  4. B

    Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

    Wazee wa kujirusha mnaeza enda maisha club,kington,kingstone,tushikamane,kaumba,na samaki samaki,hizo chimbo ndio habari ya mujini bt muwe makini.
  5. B

    Mwenye mawasiliano Longido Sekondari anisaidie

    Madam longido 0762323764 ni mwalimu hapo,kila lakheri wakuu.
  6. B

    Kiwanja kinauzwa maeneo ya Kaloleni Arusha.

    Ni site yenye nyumba eneo la kaloleni Arusha,kwa maelezo zaidi ni pm
  7. B

    Najuta kupangiwa field Mtwara

    Ha ha mkuu umeeleza kwahisia kali sana,but wory not next week mambo yatakuwa sawa kwasababu serekali yenu ni sikivu.
  8. B

    Msaada HP PROBOOK 6455b

    Habari wakuu,computer yangu aina ya Hp Probook 6455b imeharibika chanzo ni adapter iliungua nikabadilisha baada ya ku2mia adapter ingine PC iligoma kupeleka moto nikajaribu kutoa betri bt soon baada ya kuswitch on tena moto niliona moshi tu na kusikia harufu kali ya kitu kilichoungua ndani,sasa...
  9. B

    Kweli tumelikoroga WAHANDISI-SUA (SUA-COE)

    Eng hamkujipanga kaeni chini mjipange upya coz swala la bumu ni lawanasua wote
  10. B

    Wale wa Sua tufahamiane humu

    Ushauri kama umepangwa SUA nakuomba sana mambo ya kitoto uache kabisa kwani ukileta uzembe tu unaliwa kichwa.Utoto unaishiaga Msamvu so jipangeni kupiga msuli
  11. B

    Mauaji sua!!!

    Dah nimasikitiko makubwa pale kwe2 wamekula vichwa vi3
  12. B

    Matokeo ya SUA yapo hewani

    Haya sasa wale wa SUA tembeleni website ya SUA, [Sokoine University of Agriculture] mjiangalie wenyewe,bila kusahau kurudisha feedback hapa jamvini.
  13. B

    Msaada SAUTI

    Wakuu naombeni mnichekie ETROPIA B MBOYA exam no ni S1288/0011/2010 msaada wenu wakubwa
  14. B

    Wale wa SAUT jitazameni hapa

    Msaada wakubwa naombeni mnichekie ETROPIA B MBOYA
  15. B

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    ETROPIA BENEDICT MBOYA msaada jaman kama jina lipo hapo UDSM
  16. B

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Dah kweli siamini yaani UDSM ndio naikosa kweli,jamani niangalizieni tena ETROPIA BENEDICT MBOYA
  17. B

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Vp juliet unazacheck na hapo UDOM EUTROPIA MBOYA
  18. B

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Wakuu naombeni mnisaidie kucheck ili jina kama kapangwa hapo UDSM,jina ni EUTROPIA MBOYA
Back
Top Bottom