Search results

  1. M

    Dk Slaa hajakomaa kisiasa

    Naamini huna ufahumu mzuri juu ya hoja zako, ni dalili za ufahamu hafifu kumlinganish maalimu na dk slaa, kwani muelekeo mbaya wa chama cha maalim ni matokeo mabaya ya maamuzi yake ya kufunga ndoa na chama cha kijani, je huu ni ukomavu? Vilevile siasa kipindi cha mandela ni tofauti na siasa za...
  2. M

    Madiwani wa CUF na CHADEMA Manispaa ya Kinondoni wasusia kikao

    Ni kweli manispaa inakuwa na madiwani wa vyama vyote, lakini elewa kuwa utendaji wa serikali katika ngazi zote huratibiwa na kusimamiwa na chama tawala kama sehemu ya kutekeleza ilani ya chama hicho na hii ndio inayopelekea tofauti hizo kwani vyama pinzani havipewi nafasi ndo mana mambo kama...
  3. M

    Madiwani wa CUF na CHADEMA Manispaa ya Kinondoni wasusia kikao

    Uovu wa ccm ndio tiketi yao kuelekea kusikojulikana....chadema kaza uzi..mwendo mdundo
  4. M

    Mabere Marando asema Meseji zilizodaiwa kutumwa kwa Mwigulu ni za kuchonga!

    Kweli chadema ni chama makini, kwani cha weka wazi mbinu za ccm za kukidhoofisha chadema kwa kile kinachodaiwa kuwa wana mtambo wa kuwawezesha kutuma ujumbe mfupi kwa simu na ujumbe huo kutambulika kama unatoka kwa mtu fulani, ikiwa sivyo. Hii nikutokana na tuhuma dhidi ya baadhi ya wabunge wa...
  5. M

Back
Top Bottom