Search results

  1. W

    Watoto wa viongozi bungeni: Makamba, Msuya, Kawawa(2), Sokoine, Mwinyi...

    kuna tatizo lolote? kama wamechaguliwa na wananchi inakuaje?
  2. W

    Lady Jay Dee ajibu hoja ya Wakurya!

    jamani kama binadamu wa kawaida nahisi alikuwa anaweka mambo sawa though siku zote alikuwa anakubali kuitwa mkurya lkn leo hataki coz mapanga yamezidi jmn! hilo kabila lipo lkn ndo vile vikabila vidogo vidogo ambavyo kumuelezea mtu hataelewa upesi so huwa wanasema ni wakurya tu ingawa sivyo na...
  3. W

    Madee amekufuru!

    wasanii wengi wanaimba ilimradi vina tu, hilo la elimu pia sina shaka nalo pia kwani asilimia kubwa ya wanabongo fleva hawana shule, std.7, form 2, 3 amejitahidi form 4! wako wachache wanaoimba na heshima yao iko kama mwana fa, prof. j, ay, joh makini na wachache wengine, hao ukisikiliza nyimbo...
  4. W

    Lowassa anasafishwa!

    kamanda mbona hilo sio swali kabisa, yaani haina mjadala! jamaa ameanza kusafishwa 4m day 1, na magazeti ya rai, mtanzania na the african ambao baadhi ya wahariri wake wamejengewa mahekalu makubwa tu mithili ya uwanja wa basket! hata ukisoma gazeti la mwanahalisi la leo linaelezea bayana...
  5. W

    hivi ni kweli kupiga kura ni haki yangu?

    mara nyingi najiuliza hili swali wakati wa kampeni huwa kunakuwa na kaulimbiu inayosema"kupiga kura ni haki yako" mi inanikanganya sana hii, kama kupiga ni haki yangu ya kimsingi ya kidemokrasia kwa nini wakati wa kampeni hasa kwa vyama vya upinzani kunakuwa na askari polisi kibao na ffu ambao...
  6. W

    Lowassa anasafishwa!

    simbajike umesema kweli kwa nini atandikiwe zuria jekundu (red carpet)kwa lugha ya wenzetu, lakini ukweli ni kwamba hakuna aliyeandaa maandalizi hayo zaidi ya wewe mwenyewe EL kuratibu maandamano hayo na kuchapisha fulana zaidi ya 200 na kumpokea kama shujaa, uliona mabango yao, ati, maasai...
Back
Top Bottom