Search results

  1. E

    Mwalimu kubadilishana Kituo cha Kazi

    Kwa Mwalimu aliyepo Dodoma anataka kuja Kahama..0763321717
  2. E

    Mbona Taifa kama halina furaha? Hofu, Chuki, mitafaruku imetamalaki

    Ukiwa unazungumzia mabadiliko lazima utambue kuwa ni lazima ya guse maisha ya watu na sio miti wala ng'ombe...
  3. E

    Charles Kitwanga, amkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba Ofisi Rasmi

    Adui yako sio tu anayekushambulia hata anayekukumbatia.
  4. E

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Ivi wakuu Mwakyembe mbona anafanya saisa ya kitoto sana.kuzungumzia Richmond na kuacha kashfa nyingne ni utoto kabisa kisiasa.Najiuliza alikuwa wapi muda wote mbona hawa wanasiasa wa tz ni vigeugeu hivi.Mwakyembe mbona yako husemi.Jaman nakiri mimi ni ccm ila sipendi siasa kama hii ya kitoto...
  5. E

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Mkuu iwe imeandaliwa hata mwaka maana hata ilani inaandaliwa kwa muda mrefu.ishu ni kinachozungumzwa kina tija au lah
  6. E

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Wakuu Lowasa anashusha nondo za maana.mimi ni ccm ila Lowasa ni kiongozi mwenye maono makubwa sana
  7. E

    Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

    Wakuu wanaosema cheo cha mkuu wa mkoa kifutwe ni wazi hawajasoma katiba vizuri.cheo cha mkuu wa mkoa kipo kikatiba lakinihakuna cheo cha mkuu wa wilaya kikatiba.
  8. E

    Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

    Vyeo vya wizara-waziri,naibu waziri,katibu mkuu,naibu katibu mkuu..haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma.hawa wote kazi zao ni zipi
  9. E

    Soma hapa ujue kwanini wananchi wanataka kuiadhibu CCM jumapili

    Huu uzi umeandikwa na mmoja wa watu wenye uwezo mkubwa sana wa kufikiri bila kujali itikadi yoyote..JET SALLI hongera mkuu nimekuelewa sana
  10. E

    Naipenda Tanzania kuliko CHADEMA na CCM

    Nimekuelewa mkuu cha msingi ni kuifikiria Tanzania kwanza kabla ya madaraka na vyeo.naomba niongezee kuwa sio tu kuachwa kuongoza bali pia watakaochaguliwa na wananchi pia wakatekeleze wajibu wao kama walivyo ahidi na kuapa mbele za Mungu aliye juu.
  11. E

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Only time will tell.na kwa yeye aliye juu Muumba wa mbingu na nchi kweli yote itathibitika kwa neno lake muda na wakati utakapowadia.Atukuzwe Mungu aliye juu na mtoa afya kwa viumbe wake mimi ni nani hata kumnyooshea kidole kiumbe mwenzangu kwa afya yeke.eeh Mungu usinipe ulimi wa kuwasema watu...
  12. E

    Kwanini gazeti la Uhuru hawakuipa Uzito habari ya kifo cha Deo Filikunjombe?

    Kwa historia ya nchi yetu CCM tangu enzi za hayati Nyerere chama tawala hakikuwahi kuwapenda watu kama akina Filikunjombe ambao wawakuwahi kuficha maovu ya serikali yao na kuivua nguo serikali hadharani.tunawakumbuka akina Sokoine,Kambona,Kolimba,Chifupa ambao walitofautiana na mitazamo ya...
  13. E

    Kwanini CCM ni wabishi na waongo?

    Kama ungekuwa kiongozi wa serikali lazima utambue umuhimu wa kuthibitisha ukweli wa habari au taarifa fulani kwa umma kabla ya ku confirm.namaanisha kwamba tukio linaweza kuwa kweli au uwongo ila kukanusha ni kwa public interest mpaka itakapothibitika ndipo uikubali na kutoa ufafanuzi.Mf.taarifa...
  14. E

    Godbless Lema azua maswali msiba wa Malla

    Wakuu tukisema tuchambuane kwa kuhudhuria misiba hapa tutajikuta na sisi pia tunatenda dhambi kwa kutohudhuria baadhi ya misiba kwa sababu tofauti pengine zipo nje ya uwezo wetu.pia kwa sasa misiba ya wapendwa wetu ni mingi sasa hapa unaangalia uhitajika wako kwenye misiba hii na ukaribu...
  15. E

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Wakuu tuwe tunasoma na katiba angalau kidogo tusiishie tu kuangalia movie za hollyhood.ni kwamba ukomo wa kuwa waziri utakoma pale rais mteule atakapoapishwa na kuteuliwa waziri mwingine kukaimu madaraka hayo.hata kama bunge limevunjwa rais anaweza kumteua mtu aliyekuwa mbunge kuwa waziri...
  16. E

    Hivi kuna mwanasiasa atakaeingia mbinguni?

    kitu pekee ambacho mwanasiasa huwa anasema ukweli ni jina lake tu
  17. E

    Natafuta kazi, nina Diploma ya Utawala

    sijaelewa hapo tafsiri ya diploma ya utawala in bracket ukasema human resource..kama ni utawala ni public administration na human resource ni rasilimali watu..embu weka maelezo ya kina zaidi wadau tujue tunakusaidiaje
  18. E

    Depo inakuaje huko CCP Moshi

    Mkuu..Ejay...ina maana yani kosa lolote unafukuzwa..sass hiko chuo atabaki mtu kweli mna nijuavyo ni kuwa hakuna binadamu asiye kosea..labda utuambie makosa specific ambayo mtu akikutwa nayo yatapelekewa kuondolewa mafunzoni ni sio kosa lolote..usiwe too general kuwa specific kuwasaidia...
  19. E

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Kibajaji hana tofauti na Hadija Kopa...hivi ukiwa na mbunge kama huyu kwenye chama chako utajisikiaje zaidi ya kuona aibu..hii inapima hata IQ za wananchi wa jimbo lake..dah watz tubadilike hawa si wakurudi bungeni next time..
Back
Top Bottom