Search results

  1. K

    Uchunguzi wangu wa awali kuhusu mgodi wa siri uliopo ndani ya pori la hifadhi Singida-Tabora

    Hebu mtu afuatilie hizo coordinates 6°49'03.8"S 34°13'07.9"E kwenye ramani za maeneo yenye madini kutoka GST. Tuone kuna aina gani ya madini yako hapo
  2. K

    Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

    Simba wa dampo kala nguchiro ahaaaaa bado kutafuna ndala wa pale mafuriko ya mwendokasi!!!!!!!
  3. K

    Tahadhari kwa namba hizi

    Utapeli wa zamani sana huo, wanaopigwa ni mabwege orijino. Sasa wamehamia kwenye mashirika UNICEF,PSI, OXFAM wengine wanasema wawakilishi katika balozi zilizoko nchini. F...k them
  4. K

    Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    watakaopunguzwa waje huku Kagera fursa kibao za uwekezaji. Mkoa umewekeza 1% Waje walime!
  5. K

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Safi sana ukimaliza huko nenda Tanesco fumua vitengo vyote. Pale Tanesco kuna kitengo kimoja eti kinajiita cha "usalama' ni wapiga dili hamna kitu!
  6. K

    Tulichokunywa na kula Ikulu Chamwino

    Kapwila Matulu"Huwezi kuwa na viwanda vipya (maana yake havipo) ... kama sisi wenyewe hatutumii bidhaa zinazozalishwa kwenye viwanda hivyo (maana yake vipo)." Swali: Una maana gani kuanzisha viwanda vipya ambavyo unatusihi tutumie bidhaa zinazozalishwa na hivyo hivyo viwanda vipya? Ni vipya au...
  7. K

    Ikulu na Wizara ya Afya lugha gongana

    Mleta mada anachekesha kweli hakuna tofauti kati ya Wizara na serikali. Pia tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete, nafikiri akae atulie tu Msoga
  8. K

    Mafuriko ya CCM Star TV Moshi ni fake

    Kama vile UKAWA wamerogwa, Tanzania hii ni Magufuli tu, ambaye anakataa asubiri tar 25. Ni mtikisiko wala siyo kimbunga tena!
  9. K

    CHADEMA Asilia v/s CHADEMA Pesa

    Bahati mbaya ni kwamba Chadema Asili tutamchagua MAGUFULI!
  10. K

    Timu ya Kampeni CCM, 19 Wasusia

    Magufuli hahitaji wa kumsemea, watamwaribia!
  11. K

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    impact ipo. Usipotoshe maanake kinachomfanya mtu kushinda hata kura moja tu ni impact
  12. K

    Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

    Dr Slaa ameeleweka kama CDM watajifanya kujibu wataongeza kinyesi kwenye mataputapu yao walioyatengeneza wenyewe
  13. K

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Dr Slaa ameeleweka, kama CDM watajifanya kujibu ni kuongeza kinyesi kwenye mataputapu
  14. K

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yaihukumu ITV kwa habari za uongo, watakiwa kuomba radhi

    AMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA SHAURI LA UKIUKAJI WA KANUNI ZA UTANGAZAJI NAMBA 4/2015 DHIDI YA INDEPENDENT TELEVISION (ITV) UAMUZI UAMUZI WA KAMATI YA MAUDHUI KUHUSU LALAMIKO LA UKIUKAJI WA KANUNI ZA UTANGAZAJI, MWAKA 2005 1.0 Utangulizi: Mnamo tarehe...
  15. K

    Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    Tatizo ni kwamba Lowasa has been misled by hypocrites wanaotaka visenti vyake. Sijui kama lowasa atapata chochote kanda ya ziwa. Masikini mzee huyu!!!!!!
  16. K

    Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

    Nakuunga mkono 100% naanza kuwa na mashaka na credibility ya watu wa Kaskazini
Back
Top Bottom