Search results

  1. kensh

    Mpaka wa ukosoaji unaanzia na kuishia wapi?

    Ni ajabu sana katika nchi hii au kwangu mimi. Leo mtu akimkosoa Magufuli, anaonekana hafai na hapaswi kusikilizwa. Membe anashambuliwa sana badala ya kusikilizwa na kupingwa kwa hoja mbadala. Nauliza, wapi mwanzao na mwisho wa ukosoaji? Ninavyofahamu ni kwamba katika kukosoana ndipo hupatikana...
  2. kensh

    Yaani wote hawa ni wasaliti?

    IKIWA WEWE NI MKRISTO, Yesu alikua na wanafunzi 12, alipokua anakamatwa na kukamatwa,wale wanafunzi waliendelea kumfuata?
  3. kensh

    Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

    kila safari ina magumu yake,ukiona yoooooooote haya ujue safari inakaribia kuisha
  4. kensh

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    tafadhali, kuwa huru kutabiri vichwa vya magazeti kesho
  5. kensh

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    amesema mengi, kubwa ni kwamba ametuhumu sana kuwa uongozi wa chama chake cha zamani(chadema) umefanya maamuzi yasiyo sahihi. je,kipindi hiki cha kampeni,chadema wanaulazima wa kumjibu dr slaa?
  6. kensh

    UKAWA wakishindwa nani ataweza?

    swali ni je ukawa wakishindwa kuitoa ccm ,nani mwingine ataweza kuula mfupa huo ?
  7. kensh

    UKAWA wakishindwa nani ataweza?

    Siasa za mwaka huu ni kali, tena sana. Utamu na ukali wake umenogeshwa na mambo matatu hasa.moja ni jambo ambalo watanzania walikua wakisema sana kuwa vyama vya upinzani vikiungana ndipo vitaweza kuitoa ccm ikuli,hilo limetokea mwaka huu. Pili ni ile hali ambayo haikuzoeleka ya wana ccm wakubwa...
  8. kensh

    Kashfa nyingine ya Mbowe: Kumbe Juma Duni Haji hajakabidhiwa kadi ya CHADEMA

    :A S-confused1:hivi huyo Juma amehamia lini CHADEMA? Usiku ? maana wenzake woote walikabidhiwa kadi mchana kweupeeeeeee! yeye alipewa lini hasa? mwaka wa mazingaombwe huu
  9. kensh

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Na Timu ya Uwazi TAKRIBANI siku 9 tangu kutokea kwa uporaji wa silaha na mauaji ya askari wanne na raia watatu katika Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, moshi mweupe wa ukweli umenza kufuka. Gaston polisi aliyenusurika. Uchunguzi na vyanzo mbalimbali vya habari wakiwemo...
  10. kensh

    Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    AMENASWA--WALIOVAMIA STAKISHARI WATIWA MIKONONI,SILAHA NA MAMILIONI YAKUTWA YAMEFUKIWA CHINI HUKO MKURANGA Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam SULEMAN KOVA akiwaonyesha wanahabari silaha bunduki 16 zilizokutwa zimefukiwa chini huko pwani mkuranga huku bunduki 14...
  11. kensh

    Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    UKAWA ni wanafki tu,hawana lolote, inafikia wakati kwa sisi waelewa hatujui hasa ni wakati gani wanatetea wananchi. Bunge lilipoleta hoja ya kuwalipa wabunge sh laki 2 kwa kila kikao, UKAWA walijifanya wao hawana njaa, wakajidai kususa posho eti ni nyingi sana ila kimyakimya wakaendelea...
  12. kensh

    Jaji Agustino anamchango gani CCM?

    najiuliza amechangia kiasi gani ccm mpaka aaminike kwa nafasi ya urais?
  13. kensh

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    HABARI KUBWA LEO,.KUMEKUCHA URAIS CCM, YALIYONENWA SASA WAZI WAZI,JAJI AGUSTINO AJITOSA ,MITETEMEKO KUNYWEA SOMA HAPO KUJUA pichani ni Jaji Ramadhani akichukua fomuya Urais leo Mkoni Dodoma akiongozana na Mkewe HATIMAYE makundi hatari ndani ya chama cha Mapinduzi CCM...
  14. kensh

    Sichafuki kwa uongo, na uzushi kama huu ni wa kupuuza

    kaka utaweza kumjibu kila mtu na kila uzushi? nafasi unayoiomba ni kubwa,na huo ukubwa una mengi. tafuta washauri wazuri kipindi hiki cha safari uliyoianzisha.
  15. kensh

    MwanaCCM anapoikosoa CCM ili CCM impatie fursa ya kugombea kupitia CCM!

    Watangaza nia ndani ya CCM bado wanamiminika,ni wengi labda kuliko siku za nyuma.Wanataka kuingia ofisi kuu,ikulu.Nimewasikiliza sana,na wengi wao ni wale ambao walikua au bado ni viongozi waandamizi huko serikalini,wanauwezo wa kumshauri rais ili atuboreshee maisha. Wengi wao wananena ktk...
  16. kensh

    Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    Mwigulu,umefanya vema kuthubutu kujitokeza,ila bado kidogo kwa nafasi unayoiomba. TANZANIA INAHITAJI KIONGOZI MAKINI,ALIYEJULIKANA KWA MUDA MREFU NA KUONWA UWEZO WAKE KTK KUKABILI HALI HASI NA CHANYA. BADO HATUJAKUPIMA,BADO HAUJAPITA KTK MOTO,BADO HATUJAKUJUA.
  17. kensh

    Fikra kikwazo kikubwa Tanzania

    nimeisoma habari hii kwa utulivu,nimeielewa na ina ujumbe mzito.Lema amesema vema
  18. kensh

    CCM wakimteua Lowassa urais 2015 atapita bila kupingwa

    this is Masaburism type of thinking
  19. kensh

    CCM wakimteua Lowassa urais 2015 atapita bila kupingwa

    2015 Lowassa atosha
Back
Top Bottom