Search results

  1. M

    Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

    Truly am very happy for this man of God. Ameifanya kazi yake na apumzike kwa amani. Kama tujuavyo amelala tutamwona tena. Kazi ipo kwetu mimi na wewe tutakuwaje siku yetu ikifika?
  2. M

    Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

    Napenda kuwaeleza kama hamjui, Kila mtu na nafsi yake. CCM mmechemsha kama hiyo ndo mbinu. Unajua kabisa jinsi wanawake wanavyodanganyika na mambo madogo: hiyo kofia na kitambaa tuuuuu!! Hiyo mbinu ni ndogo. Labda pia kaahidiwa udiwani wa maneno na ameona CHADEMA hawana mpango naye, kuhama hama...
  3. M

    Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya

    Wana JF, Tanzania bila maombi haiwezekani. Viongozi wetu wanahitaji kuombewa ili wasimame kwenye zamu zao maana kama wanahusishwa na issue hizi maana wenyewe wanahutaji kupona kwanza. Kila mtu anajua jambo unaloshiriki si lazima awe na biashara hiyo but even kupokea pesa zake ni umeshiriki na...
  4. M

    Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    As for me hii ni dalili ya kujiweka sawa ili akikosa aonekane hakutaka. Be free to do whatever you want Zitto but kutangaza kila wakati kunakuonesha unahangaika sana. Matendo yatakufanya uonekane una hekima sana kuliko matamko ya mara kwa mara.
  5. M

    PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

    Mwigulu jamani!!!!!!!!!! Mi naona ungepumzika tu maana kwa kweli hukubaliki na jamii ya watanzania labda wajinga kama wewe. Nyoa ndevu hizo basi hata kama upo busy
  6. M

    Lissu: Lwakatare hajashitakiwa KUMDHURU Kibanda, Ulimboka; Serikali nani alihusika?

    Akizungumza na wanahabari nje ya mahakama amependa watanzania wafahamu mteja wao wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi Lwakatare HAJASHITAKIWA Kwa yaliyowasibu Ulimboka na A Kibanda je Serikali ituambie ni wakina nani wanahusika na Utekaji huo? Hivyo waliokuwa wanaeneza uvumi Lwakatare anahusika...
  7. M

    Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    Ninapata shida na siasa za Tanzania kwa sasa japo ukweli utajulikana. Tatizo kubwa kwa nchi hii sasa hata ukweli ukijulikana hatutaelezwa kama wanavyofanya sasa. Chadema be carefull kwani hizi zote ni mbinu za kukidhoofisha chama. Moyo wa mtu ni msitu mnene jamani tusubiri ushahidi...
  8. M

    Kibanda: Msitumie matatizo yangu kisiasa, Nape aumbuka hospitalini!

    Mungu inusuru nchi yetu. Tunakuhitaji wakati huu. Kila anayefanya mambo ya maana kwa nchi hii anadhuriwa kisha wanasiasa kujipendekeza kama vile hawahusiki. Jamani jamani!!!! kuweni na huruma ndugu zangu hakuna atakayeondoka na haya ya duniani. Vyote tutaviacha. Tuweni na hofu yake aliyetuumba
  9. M

    Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    Mi nitamkumbuka Kikwete kwa udini wake aliounzisha Tanzania. Nchi hii haikuwa na ubaguzi wa namna yoyote mpaka alipoanzisah yeye kutafuta wajinga wasio na uwezo wa kupambanua mambo. Hata hivyo ni Rais aliyefiwa na vitu vingi vya Taifa mikononi mwake kuanzia chama chake mwenyewe, amani, elimu...
  10. M

    Mbatia agomea uteuzi wa Pinda,atao sababu tatu,ufaulu wa shuka toka asilimia 89 mpaka 43

    Jambo hili si la kuandika tu unavyojisikia. Ni jambo nyeti sana. Mbatia yupo sahihi ni mzalendo kweli. tuache ushabikiwa vyama maana matokeo hayakuchagua chama chochote. Tuungane watanzania katika mambo muhimu kama haya. Mungu ibariki Tanzania.
  11. M

    Elimu ya Nape Nnauye

    Ndugu yangu Nape unanitia aibu. Sasa hivi kuna shule nyingi hata za distance nakushauri ungejisomea angalau ukapata Logical reasoning katika mazungumzo yako. Usishambulie watu pasipo kufikiri. CCM mnaposema na kukurupuka oohhhhhhh wengine hawajasoma mnajiaibisha. Jisomee hata kwenye mtandao...
  12. M

    Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Mungu tusaidie watoto wako. Vita hii si ya Damu na Nyama
  13. M

    Nape, Umeyasema haya kwa kukusudia, Umetumwa na Chama au Umekosea kwa bahati mbaya?

    Ndugu mleta hoja ninakushukuru ila ninadhani Nape ni janga la kitaifa kwa CCM wangealia nafasi nyingine ya kumpa ama wamuondoe tu. Propaganda zinazidi mpaka anatia kichefuchefu. Kwa kweli binafsi siwezi kusikiliza chochote anachoongea Nape kama sina cha kuangalia au kusikiliza ni bora nikazima...
  14. M

    Ndalichako kutemwa Baraza la Mitihani ili kumwokoa Shukuru Kawambwa

    Ndugu hoja sijaielewa sana isipokuwa vyovyote iwavyo si sawa kumwajibisha Ndalichako kwa kuwa hahusiki na lolote lililotokea. Kawambwa awajibike kwa hiari tumuone ni shujaa. Hoja imekaa kimajungu fulani hivi!!!!!
  15. M

    UDINI: Uchafu Chini ya Kapeti tunajidanganya wasafi - Zitto

    Mh. Zitto ninakupongeza kwa kuthubutu kuandika hili. Hakika upo sawa kuleta mjadala huu. Ninachojua mimi vita hii si kama tunavyoiona ni kubwa mno na wanaojua kuwa kuna Mungu wanapaswa kuingia magotini kumwuliza Mungu. Tutapigana kweli na kuumizana wakati kiukweli vita hii ni ya rohoni...
  16. M

    Tfda tulidhani mmebadilika!!!!!!!!!!! Utumishi angalia hili

    Umejuaje ni dogo????????? Unaweza kufikiri ni dogo kumbe hicho anachosoma sasa siyo alichotumia kuombea kazi. Inawezekana anacheti ingine alichonacho. Si unaelewa unaweza kusoma degree zaidi ya moja ndugu yangu!!!! Mi nasema TFDA Bado ni makini. Using'ang'ania kitu ambacho si chako. Angalia pia...
  17. M

    Vurugu za kidini: Serikali yaifungia Sekondari ya Magambani

    Kweli tunamhitaji Mungu katika hili. Kila anayeliona hili aingie magotini, lawama hazitatufikisha mbali ndugu zangu. Mungu atupe macho ya Rohoni tuone wajibu wetu katika masuala haya. Ni kweli JK alitufikisha hapa lakini omba macho ya ndani uone nyuma ya pazia ili ufanye kazi yako
  18. M

    TAHADHARI: Ongezeko la Mvua

    Unapoambiwa utabiri ujue ni utabiri si halisi tahadhari ni muhimu ndugu zangu wamaJF. Asante kwa mtoa habari hii
  19. M

    Majaji wa Tanzania hawajui kiingereza - Tundu Lissu

    Big up mhe Lissu. Msemakweli ni mpenzi wa Mungu
  20. M

    Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

    Tusikazane kufikiri Rais atatoka wapi. Bila shaka hatuelewi kuwa tunapojichagulia viongozi tuaowataka wenyewe madhara yake tunayasahau. Tumwombe Mungu Rais atakayetufaa, atuonyeshe awe anatoka wapi japo kujiwekea malengo si vibaya lakini kumbuka unachoomba ndicho unachopewa. Tuombe uongozi wa...
Back
Top Bottom