Search results

  1. S

    TANESCO taabani; EWURA yaomba kupandisha gharama za umeme!

    jaman hizo figure ni za kweli hawajakosea hilo shirika linafilisiwa na makampuni binafsi yanayoiuzia umeme mbona kipindi cha nyuma hatujawahi kusikia TANESCO haina pesa kama hivi sasa Symbion, Agrekko, Songas wanaifilisi TANESCO, mafuta nao yanaifilisi TANESCO kila siku yananunuliwa. lakini...
  2. S

    TANESCO taabani; EWURA yaomba kupandisha gharama za umeme!

    Jamen hizo bilioni zinatumiwa na TANESCO ni sahihi hakuna kilichokosewa jamani shirika hili litumia fedha nyingi katika kununua mafuta, kuyalipa makampuni binafsi yanayoiuzia umeme, capacity charges yaani kwa sasa halina kitu linadaiwa hadi uvunguni. Na hivi sasa suppliers wao kibao wanawadai na...
  3. S

    Spika Makinda awachefua Wazee wa Kibena na Njombe

    Hivi jamani mlikuwa hamjui pesa ina nguvu kuliko kitu kingine. kwa kweli spika ametuabisha kweli sisi Watanzania hivi sisi Watanzania tunajua wabunge wanafanyabiashara na TANESCO na wengine walikuwa wanahongwa na wakubwa wa TANESCO ili waendelee kulitafuna shirika hili yaani kama mnabisha...
  4. S

    Wabunge waorodheshe mali zao waache kulalama

    Hivi karibuni nilimsikia spika Anne Makinda akiwawataka wabunge waorodheshe mali zao katika tume ya maadili lakini wanaonekana kuwa wazito kufanya hivyo. Tunasema wafanye hivyo tuwaone kama wasafi wakati tunajua wengi wao wana kula rushwa hasa zile za kutetea hoja fulani fulani kama walivyofanya...
  5. S

    Vigogo wa tanesco waliosimamishwa wamwaga michuzi kwa wabunge wawatete

    Vigogo wa tanesco wazidi kutapatapa sasa wakimbilia bungeni na wamwaga michuzi kwa wabunge hasa wale wa kamati ya nishati na madini na ile ya kina zitto. baadhi ya wabunge wapokea michuzi hiyo inadaiwa ni milioni tano kila mmoja pesa hizo zimewalewesha na kuamua kuita waziri muhongo katika...
  6. S

    Nape kuwataja wanaoharibu CCM

    Nape wataje kama wewe kidume usiogope!!
Back
Top Bottom