Mi nadhani mtoa mada ana matatizo binafsi na Kiba. Kusema kuwa catalog nzima ya Kiba haikubali nadhani ana tatizo deep kuliko lilivyo hapo juu. Napenda Kiswahili na ninaupenda sana utunzi wa Kiba. Dushelele is about a guy who got his girl. analalami ka kuwa huyo mtu hakuona uchungu kumharibia...
Kama huelewi kiswahili nyimbo za Kiba zitakusumbua sana. Kiba anatunga very deep. Kimasomaso is a very common wedding song in swahili culture. Kiba amerudia wimbo wa Isaa Matona ambao unapendwa sana na watu wa mwambao. Huo ni wimbo mzuri.
Jambo rafiki.
Sauti ya Ali KIba anapoimba ni tofauti na anapoongea. Sauti yake ya kuongea ni kawaida tu kama ya watu wengine. Hata anapoimba siyo kila wimbo anaimba kwa ile sauti ya chorus ya msambinungwa au Dushelele. Sikiliza Mjanja wa jiji Raz Ft Ali Kiba.
Unaweza kumsema kuhusu ufanyaji wake kazi mbaya, lakini siyo haki kumwita changu doa ( nadhani maana yake ni malaya) sidhani kama una uhshahidi kuwa Mrs. Banda ni malaya, halafu, neno malaya limewarudisha nyuma akina mama kwa muda mrefu, linawakatisha tamaa na kufanya wawe waoga kuchangia...
This is beyond insult. People select you to represent their ideas and fight for them to shape the country in a way they feel fit and you don't give a fair fight? If this was meant to say sizitaki zabibu mbichi,( sour grapes) it failed, instead it demonstrated lack of tact on the part of the...
Hello its time CCM wanatambua walikotoka, safu ya Uongozi Kitaifa sasa hivi inadhihisha wazi kuwa Mwenyekiti Ndugu Jakaya ndiye yule tuliyemjua enzi hizo, halafu akayumbushwa na wala rushwa. Hongera mwenyekiti you are back to the real you! Baba Wa Tafia Mwalimu Nyerere huko aliko analala...
Hawana uzalendo wowote. Kama wewe ni askari umeambiwa kamuue mtu, jibu ni kuwa hapana kuuwa watu haimo kwenye maelekezo yangu ya kazi. Dr. Ulimboka, Kyala aikuupoka bho ngamu jako jikunsuma kyala ukuti akupokeghe.
Pole sana bwana Kibunango kwa kuondokewa na mzazi. Ni pigo kubwa sana kwa sababu yeye ndiye anayewaunga ninyi nyote. RIP the Bingwa. I think that is your nick name for him.
njomba kwa kiswahili cha mkoani Lindi tunasema huyu mwanzishaji wa huu mjadala anang'ola. yaani anakebehi. Anataka uone kuwa huyu ni mtoto wa mwanasiasa maarufu huko Unguja hivyo inawezekana kuwa kapendelewa.
Hivi hiyo nguo ya balozi ni moja kati ya mavazi ya asili ya Zambia? Nimejitahidi sana kuvumilia kutouliza hili swali, toka juzi hii picha ilipoanza kuonekana kwenye mablog mbali mbali, lakini nimeshindwa imebidi leo niulize.
By surrogate mothers. Kinachotokea ni kuwa mbegu za kiume zinatolewa na mmoja wa hawa wanaume ( kwenye kisa cha D. Furnish na E. John walichanganya mbegu zao ili asijulikane nani amefanikiwa kutengeneza mtoto kati yao) Halafu wanatafuta yai la kike kisha kitu inachanganywa kwenye petri dish...
Heshima kwako.
Nillisikia hii jana kwenye NPR. Nilishtushwasana na pendekezo hilo maana nimelitafsiri kama vile Bwana Goodluck Jonathan anataka kuleta aina ya kukaa madarakani kwa muda mrefu amabayo itawaharibia wananchi nafasi ya kuchagua mtu mwingine kama wanaona yeye hafai ( au raisi aliye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.