Search results

  1. F

    Kutumbuliwa kwa Lugola: Askari Polisi waandika waraka, washukuru kuondolewa wizarani kwani aliwadharau na kuwabeza hadharani

    Majungu yapo kila mahali; kwenye taasisi za umma, binafsi na maeneo yote ambapo binadamu yupo hasa Africa.
  2. F

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Dogo katika mtihani wa form 4 amepata Div.4 points 30. Amefaulu kwa kiwango cha D katika masomo haya: Kiswahili, English, Literature in English, Biology na Geography. Huyu ana weza kusoma kozi gani? Chuo kipi? Mungu akubariki kwa ushauri wako.
  3. F

    Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

    Je, wewe ukikosea unastahili adhabu ya viboko? Kama wewe hustahili adhabu hiyo unapokosea, kwa nini iwe sawa kwa mtoto?
  4. F

    Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

    Waraka wa Maaskofu ni wa kichungaji, licha ya kuonya pia huponya. Kuponya kunaendana na maumivu.
  5. F

    Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

    Yanahitajika maendeleo katika nyanja zote, kiuchumi, afya, demokrasia, Elimu n.k.
  6. F

    Viongozi wa dini kuongelea siasa ni kuwa wameacha kumsikiliza Mungu wanasikiliza watu

    Mungu anawasikiliza wanyonge. Viongozi wa dini/kiroho ni wawakilishi wa Mungu hapa Duniani, Mungu husema kupitia kwao. Usishangae Mungu kupitia viongozi hao kuwasikiliza wanyonge.
  7. F

    Anaendeleaje kimasomo kijana huyu wa Magufuli?

    Umejuaje kama hafanyi kazi?
  8. F

    Simanjiro: Wanachama 3,500 wa CHADEMA wahamia CCM kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli na RC Mnyeti

    Hakuna kijiji chenye watu 3,500 tena wa chama kimoja cha siasa.
  9. F

    Ushirikiano mpya kati ya Tanzania na Kenya ni pigo jingine kwa Upinzani

    Open your mind you will understand them
  10. F

    Catholic News Agency: Bishops in Tanzania denounce government for suppressing freedoms

    Kanisa lina uwezo wa kumsimamisha au kumwondoa kundini muumini wake ambaye hafuati maadili ya Kanisa SIYO YA KISIASA.
  11. F

    Hii si Tanzania salama tena:

    Very sad!!. Ee Mungu angalia watu wako
  12. F

    Waziri Ndalichako: Michango ya hiyari shuleni inaruhusiwa

    Mkuu wa shule siyo mamlaka ya ajira. Hupaswi kuajiri. Kama kuna upungufu anayewajibika kuajiri ni Mkurugenzi wa Halmashauri, manispaa au jiji.
  13. F

    Meya wa Iringa Mjini asema ametishiwa kufungwa asipohamia CCM

    Vitisho vinavyotajwa tajwa hujavisikia?
Back
Top Bottom