Search results

  1. B

    Mzee Malecela atoa tamko - Amuunga mkono Paul Makonda

    Lowasa tamaa anayo kweli tena ya Pesa na Madaraka kwani uongo?
  2. B

    Msafara wa Kagame wapata ajali nchini Kenya

    Anafanya kazi ndo maana anapendwa na wananchi wake, sio kwetu tz kila kitu hovyo.
  3. B

    Ajali mbaya mkoani Singida: Watu kumi na tatu wafa papo hapo

    Mungu tuepushe na majanga haya mabaya.
  4. B

    "Nipo tayari kugombea URAIS endapo wananchi WATANICHAGUA."..Mwigulu Nchemba

    Majanga hasaaaa! Na sio kidogo, kila mtu anaona urais ni rahisi
  5. B

    Walimu walioomba kubadirishiwa vituo ajira mpya hawalipwi pesa ya kujikimu

    Mwakani Wanafunzi wakifeli, wanaanza kuunda tume ili kuchunguza kwanini wanafunzi wanafeli, wakati walimu wanapewa mazingira magumu ya kazi kiasi hiki. Ajira zimetoka wapo waliomba kubadilishiwa vituo kwa sababu za msingi kabisa na wamekubaliwa. Tatizo ni nini wasilipwe pesa za kujikimu? Kila...
  6. B

    Kuvaa nguo za chama kwenye hafla na matukio au sikukuu za Kitaifa ni sawa?

    Kuvaa nguo za chama wakati mnafanya jambo la kitaifa, kama vile uzinduzi wa mradi fulani kwa ajili ya watanzania, hili ni jambo linaloashiria umoja kweli? Au ni kuashiria utengano? Mwalimu Nyerere alikuwa akifanya hivyo wakati wa shughuri za kitaifa? Na nchi za wenzetu je wanafanya hivyo wakati...
  7. B

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Play your part effectively
  8. B

    Serikali imetoa agizo leo la kusimamisha withdraw kwa wanachama wote wa hifadhi za jamii

    Mimi Binafsi sipo tayari kukubaliana na haya mawazo ya wasiojua shida zetu watanzania. Wengine hiyo ni hela ya kuweza kuajili baada ya mda fulani na isitoshe Wastani wa maisha ya mtanzania ni miaka 47, Je Miaka 55 hadi 60 itafikiwa na wangapi? Nipo tayari kuandamana hata leo na ikibidi kupigana...
Back
Top Bottom