Search results

  1. M

    "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    Kwa tetesi hizi, Tendwa ajifunze, maana umekubuhu
  2. M

    Taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu (THBUB): Mauaji ya Mwangosi

    Taarifa ya Tume ya haki za binadamu kuhusu mauji ya mwangosi imethibitisha msajili wa vyama vya siasa alikiuka sheria na misingi ya demokrasia katika kushughurikia suala la vurugu za kisiasa iringa. Suala la msingi ni kuwa, hii sio mara ya kwanza Tendwa kufanya makosa makubwa ya ukiukwaji wa...
  3. M

    Tendwa, nadhani umesikia vurugu UVCCM na madai ya Rushwa chaguzi za CCM. Kurupuka sasa

    Baada ya kuuawa kwa Mwangosi Tendwa kama kawaida yake alikurupuka na kutoa kauli za utata na zisizo na umakini dhidi ya CHADEMA. Kama Tenwa alikilaumu CHADEMA kwa vurugu aone sasa UVCCM, sijui mpaka afe mtu ndio inaitwa vurugu na kuhatalisha amani. Aidha, nadhani tendwa anasoma magazeti kujua...
  4. M

    Tendwa hatumwi na CCM, nadhani ni tabia yake

    Wana JF nadhani mnakumbuka wakati balozi Ramdhani Omari Mapuri aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na katibu mwenezi wa CCM aliposema Tendwa anaongea na kufanya mambo yake kama karani. Kwa lugha rahisi ni kama mtu aliyeishia darasa la saba. Maana hata digree ya sheria aliyonayo hamsadii. Hivyo...
  5. M

    Ofisi ya Tendwa inahitaji afisa habari

    Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi Tendwa anavyoropoka ropoka katika vyombo vya habari, nikagundua mojawapo ya tatizo lake hana mtaalamu wa habari na mahusiana katika ofisi yake wa kumshauri nini ongee, angee vipi, ongee wakati gani na kwa nani. Siku hizi wizara, idara, makampuni binafsi na...
  6. M

    Lipumba atilia wasiwasi ADC kupata usajili wa ghafla :BBC

    Mhe Professor Lipumba yupo sahihi kabisa. Msajili wa vyama vya siasa alikutana na Hamadi Rashid na wakakubaliana aanzishe chama atampa usajili na akamuelekeza cha kufanya. Kwani tangu mwanzo wa mzozo wa Hamad Rashid na CUF Tendwa alikuwa upande wa Hamad Rashid waziwazi kwa kuwalaani CUF kutaka...
  7. M

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Wapenzi wa JF tunaomba mwenye nakala ya hukumu ya Dr. Kafumu aiweke hapa tuisome.
  8. M

    Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    Lisu kazi nzuri sana, tafadhari ripoti hii ichapishwe kwenye gazeti zinalouzwa sana ili wananchi wengi waelewe hali ilivyo mbaya, maana tatizo kubwa la maendeleo nchi hii saa ni mfumo mbaya wa uteuzi wa viongozi wa serikali.
Back
Top Bottom