Search results

  1. M

    Je, Rais aliyemaliza muda wake akihama Chama na akagombea tena Urais anaruhusiwa?

    Mkuu ni katiba hiihii ya chama kimoja ndiyo tunayotumia zama hizi za vyama vingi, kumbuka kifungu kinasema "mtu" haijalishi anatoka chama gani anabaki kutafsiriwa kama "mtu"
  2. M

    Je, Rais aliyemaliza muda wake akihama Chama na akagombea tena Urais anaruhusiwa?

    KATIBA YETU 40.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti hicho. (2) Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais.
  3. M

    Kwanini Askari wasio na vyeo wa JWTZ wanaweka sare kwenye siti za magari yao hasa wanapokuwa sehemu za Starehe?

    HUO NI MKWARA TU, LENGO WAKIPITA BARABARANI NA HUKO KWENYE STAREHE MSIWASUMBUE NI WAJEDA HAO, WATOTO WA MKUU WA NCHI
  4. M

    Pastor ALPHA LUKEU amefufua tena watu sita

    WAFU HAWANA PAMBA PUANI WALA HAWAJAFUMBWA MACHO!!!! NGOJA IPITE WENYE ROHO MTAKATIFU WATAKUJA KUSEMA JAMBO
  5. M

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amshukuru Pierre Liquid kwa kuhudhuria na kuhamasisha TOKOMEZA ZERO KISARAWE

    MARY CHIPUNGAHELO aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar kwa miaka mingi
  6. M

    Maalim Seif: CCM inataka kuniua kwa kutumia waganga wa kienyeji

    Huu nayo ni muujiza wa aina ya kufikirika
  7. M

    Rais wangu Kikwete; katiba imevunda, nusuru nafsi yako

    RAIS wangu Jakaya Kikwete; azma yako ya kuliachia taifa katiba mpya ilikuwa njema, lakini mchakato ulipofika hivi sasa unaonesha kuwa upatikanaji wake umevunda na waswahili husema; la kuvunda halina ubani. Huwahitaji wasomi sana kukushauri kuwa mchakato huu umeshindikana; akili ya kawaida tu...
  8. M

    LOWASSA avamia Kanda ya Ziwa?!

    Viva lowassa
  9. M

    Waislam nchini watoa tamko na kulaani uchokozi wa kidini

    Huu si msimamo wa dini bali ni dalili za watu waliokata tamaa ya maisha ndiyo maana wanatamani vita ije wafe kwa sababu hawana cha kupoteza katika maisha haya
  10. M

    Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

    Hata mwendawazimu anatenda anayoamini kuwa ni mema
  11. M

    sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

    Hatutafika mahali tupatakapo mpaka tutakapoacha ushabiki wa vyama na kuangalia kila jambo kwa jicho la tatu. Dhambi ni dhambi tu hata kama itafanywa na malaika
  12. M

    Hatimaye WANAWAKE walalamikia MBINU ZA UZAZ WA MPANGO

    Tatizo tumekuwa tukiishi kwa akili za kuazima, kila tunachoambiwa au kuletewa na wazungu tuna-copy na ku-paste, hatutumii akili na uwezo wetu kuthibitisha ubora wa vitu tunavyoletewa. Kuna Dokta mmoja aliwahi kunieleza kuwa dawa za mpango wa uzazi zina matatizo mengi kwenye mfumo wa uzazi wa...
  13. M

    Picha iliyonivutia leo hii

    Mkulu hashangai nanasi, anashangaa nanasi kuuzwa nje wakati ya hapa nchini yanaozea shambani
  14. M

    Kauli dhidi ya Malawi: JWTZ wamshushua Lowassa!

    Kuna anayeza kunifafanulia vizuri maana sielewi hoja ya JWTZ kwenye hili
Back
Top Bottom