Habari JF people,
Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts naomba unipe nikutafute. 20 kwa vyote its URGENT, ASANTENI
Habari JF people,
Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts naomba unipe nikutafute. 20 kwa vyote its URGENT, ASANTENI
Asanteni sana wote mliochangia mada hii kwa sasa mtoto ameanza kuongea na anaongeza baadhi ya vocabularies. Muhimbili wamesema hana tatizo lolote ila chakusikitisha sikupata huduma ya audiologist wala speech therapist. Inasikitisha kuona huduma hizi kwa sasa Tanzania hazipo. CCBRT ilikuwepo hii...
nimeenda ccbrt hii huduma kwa sasa haipo aliyekuwepo alishaacha kazi karudi kijijini kwao. Bado nashughulikia appointment ya waliopo muhimbili. So far anazidi kutamka baadhi ya maneno mapya ila huwezi kumwelewa vizuri
It seems ww unapenda kubishana na sio kuelewa, huu sio uvumilivu bali ni mtu kakosa msaada. Zingine zinavunjika coz mtu anaona anauwezo hawezi kuvumilia ujinga. Tunajua maisha ya ndoa c raha ila co na karaha, ni shida na matatizo ambayo yanamface kila mwanadamu. Na ndio maana hata kiapo cha ndoa...
Asante kwa ushauri kama kumchanganya ni solution i think ni better nimpeleke shule kuliko kumpeleka mbali na mie kiukweli i cnt. I will take him to school instead naamini kama ni kumchanganya zaidi then school is the best, thanks :redface:
Uzoefu ni uzoefu tu lakini sio wa ndoa. Experience ni best teacher ila sio kwa mambo ya mahusiano hiyo muelewe, NDOA ni kitu kingine hakifananishwi na experience ya kitu chochote coz hata mitihani yake haifanani acheni kujifunga fikra uzoefu wa ndoa co wakazi
Hivi unahabari kuna wanaodumu ila they v never bin happy na hawezi acha ndoa coz hajui pakwenda, hana pakuanzia na mila na desturi haruhusiwi kwenda kwao? hivi unajua kuna watu wako ndani ndoa tu coz hawa any options? Kukaa kwenye ndoa siku nyingi co eti kudumu kwa ubora hiyo uelewe.
I believe...
Nina mtoto ana miaka mitatu sasa bado hajajua kuongea vizuri nishampeleka hospitali kwa uchunguzi hakuonekana na tatizo ila matamshi yake yananipa utata sana anapotaka kusema bye anasema tai, suprise anasema tataizii anapohitaji kitu hawezi sema anaonyesha ishara au anakuchukua mpaka kwenye...
Ndoa ni ndoa tu iwe ya miaka 100 au ya siku moja so no formula kila ndoa ina mitihani yake wala hayafanani. Unaweza kupewa ushauri na mkongwe according to what he or she has experienced ukapply kwako ikabuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.