Search results

  1. H

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Hiyo ya pesa Haina uhusisno na topic yangu, usiombe but akikupa pokea
  2. H

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume...
  3. H

    Kuna ukweli wowote katika hili?

    Maana bwege mmoja , Na mtazamo wako ukoje?
  4. H

    REDIFINE AFRICA achenj utapeli

    KwA Nini serikali isiwafanye chochote kama ni raia wa kigeni?
  5. H

    Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

    Walio kama ww katika mia wawili labda maana mm x wangu jaman alikuwa hatoi pesa yoyote asipoonbwa yaan sitakuja msahau maisha yangu yote, alikuwa mbinafsi Sana, sijuwah muomba peaa jamanii but siku moja nikapata shida , ikabid nimuonbe yy jibu lake ni Sina mara zote,,.sijui kama atakuja dumu...
  6. H

    Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Aisee kuliko kuwa mnafiki katika Mungu ni Bora uchague moja, Mungu au shetani ijulikane moja
  7. H

    Mke wangu hajali familia

    Sasa watoto wanahusikaje hapa katika hii adhabu, yeye aondoke mwenyewe awaache watoto ili roho imuume atakapowakumbuka wanae.
  8. H

    Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Asante madam🙏
  9. H

    Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Asante Sana mkuu, ubarikiwe
  10. H

    Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Na wewe waweza sema neno mkuu
  11. H

    Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Mkuu tafadhali naomba unielezee kidogo ni nzurii kivipiili niweze kuiatamia Kwa maombi
  12. H

    Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Please naomba unielezee kidogo kivipi ni nzurii
  13. H

    Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Mwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze: Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu. Kinachonoshangaza ni Kwanini...
Back
Top Bottom