Search results

  1. B

    Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

    semeni mtakavyo kwakua uhuru mnao!msimamo uko pale pale waislaamu hatuko tayari kuhesabiwa.katanueni magereza mtufunge kama tutakua tumefanya makosa.
  2. B

    Uelwa mdogo kuhusu swala zima la sensa na udini

    kitero hoja zako hazina mashiko bora unyamaze kimya kwakua usilolijua litakusumbua.nyie mliekubali kuhesabiwa endeleeni sisi waislaam msimamo upo pale pale hatuhesabiwi. wao wanafiki wachache watahesabiwa na serikali kwakua wameshajua tatizo lipo wanajitahidi kutushawishi lakini kwakua vipengele...
  3. B

    Uelwa mdogo kuhusu swala zima la sensa na udini

    wajinga wenzako wanaweza kukuona kweli wewe una elimu na una uelewa wa hali ya juu,kitu ambacho si ukweli.kwa kua kutohesabiwa sensa hakuvunji sheria basi tuache tuliokataa kuhesabiwa kutusakama nyie werevu endeleeni na sensa yenu.kwakua wewe si mstaarabu ndio maana hoja yako hapo juu haina...
  4. B

    Natafuta mchumba

    kike/kiume?funguka
  5. B

    Anataka kuzaa naye tu mtoto hatamuhusu baba.

    amkubalie tu lkn iwe mara moja tu.:baby:
Back
Top Bottom