Search results

  1. N

    spyware for mobile phones

    wanandugu nimesikia kuna hii kitu inaitwa spyware for mobile phones i.e. is software that you install on a cell phone that will give you access to that cell phones data including reading text messages. jamani anayefahamu vizuri naomba atueleweshe vipi, inafanyaje kazi na inaweza kuwa installed...
  2. N

    KILIMO: mazao yanayokubali wakati wa Masika

    Malila ahsante sana kwa ushauri wako.. najua nanasi itachukua miezi 18.. nimependa wazo la ufuta!!. sehemu yenyewe ni kuwa hakuna mto karibu kwa hiyo huwezi kumwagilia.. pamoja na maelezo ya kulima muhogo/nanasi yaliyotolewa... Je unaweza kulima CHOROKO, MAHINDI au MAHARAGE? Je mazao haya...
  3. N

    KILIMO: mazao yanayokubali wakati wa Masika

    Ndugu zangu nashukuru sana mada mbalimbali zinazojadilikwa kuhusu kilimo. na mimi ndo naanza kujikita katika kilimo. Nina shamba langu katika wilaya ya bagamoyo (maeneo ya barabara ya Bagamoyo-Msata) sasa mimi ninataka kutumia mvua za masika kwa ajili ya kulima..nimenza kutayarisha shamba lenye...
  4. N

    Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

    Nimekuwa nafuatilia threads zinazohusu kilimo na kuvutiwa na jinsi mnavyochangia-mfano Elnino na Malila na members wengine. naomba kuuliza kama nitaamua kulima MITIKI (teak wood). Sasa naomba mwenye utaalamu anisaidie kunielewesha yafuatayo: Je unapotaka kupanda mitiki je mbegu zinauzwa wapi...
  5. N

    Gazeti la "Kulikoni" lafungiwa miezi mitatu; kutoka Jumatatu?

    ndugu zanguni nashindwa kuwaelewa wote waliochangia mada hii. mada ni kuhusu gazeti la kulikoni kutoka kwa nini isijadiliwe mada hiyo badala ya kuanza kujadili mtu binafsi. nilitamani sana tujadili uhalali wa gazeti kufungiwa na uhalali wa gazeti kuendelea kutoka. tufikie wakati tujifunze jinsi...
  6. N

    Mahiza: Wenye vyeti vya kughushi sasa kukiona

    jamani huo ni usaniii mtupu. sasa hivi karibia baraza zima la mawaziri ni kama "nyoka wa wanne star" hana meno, hana sumu ya kudhuru aliye karibu naye!!!. if she dares then aanze na mawaziri wanaotuhumiwa!!!
  7. N

    Firm sues Government on mining contracts

    MH. Nshala unaweza kutoa ufafanuzi kidogo kuhusu maneno ya rangi nyekundu? je shida ni nyaraka zipo lakini uwezo wa kifedha/confidentiality wa kuzitoa nakala ndo haupo?. ila nimefurahi kwa hatua nzuri uliyochukua!! nimehamasika kuku-google ili kupata maelezo ya ziada- nimegundua kuwa early...
  8. N

    Project funding sources

    kwa kweli na mimi nimefarijika sana na mawazo ya wana-JF. kama inavyojulikana kupata mkopo benki ni next to impossible hasa unapokuwa unaanza na huna track record ya bank. so the only option ni kuunganisha nguvu.!! kikubwa ni kuendelea kupeana taarifa na links!! mbarikiwe
  9. N

    New Mining Policy: Tuijadili

    hello wadau, nilikuwa nasikiliza STARTV kipindi cha Tuongee Siasa na uchumi. mtaalamu toka Policy Forum kabainisha kuwa kumbe tayari rasimu ya Sera ya Madini imeshatayarishwa na itajadiliwa katika kikao cha bunge kitakachoanza karibuni. Cha ajabu ni kuwa Development Partners na mining companies...
  10. N

    Mila za wahaya

    nasheka muno. waitu akomuka kalungi!!
  11. N

    Happy Birthday Hon Jakaya Kikwete!

    hongera mkuu wa nchi
  12. N

    Kenya Yazidi Kuwekeza Tanzania...nani anafaidi?

    Kenyans’ investment in Tanzania now at Sh160bn Kenyans’ investments in Tanzania have hit the Sh160.7 billion mark. A meeting between Prime Minister Raila Odinga and his Tanzanian counterpart Mizengo Peter Pinda was on Wednesday told that the investments by Kenyans had helped to create jobs in...
  13. N

    EPA yazaa deni jipya

    Imeandikwa na Joseph Lugendo, HABARI LEO Ingawa Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imefungwa, lakini matatizo yaliyotokana na uendeshaji wake, yameisababishia benki hiyo hasara kubwa ya Sh bilioni 135 na imeitaka Serikali iilipe. Serikali kwa...
  14. N

    Ni kosa?

    kuwa wazi zaidi, kwani ofisini upo peke yako mpaka ufunge ofisi, job kwangu hiyo one hour ya lunch unaruhusiwa kutoka nje kwa asbabu wakati mwingine si lazima chakula kiwe hapo,. na kisheria hapa kwetu inakubalika!!' nafikiri hakuna sheria yoyote ya kitaifa inayoeleza hiyo one hour lunch...
  15. N

    Don't try this at home

    ha ha ha ha, hiyo kali
  16. N

    Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

    naona gazeti la mwananchi limeandika kuhusu taarifa hii. na wametoa credit kwa MJJ
  17. N

    Pinda awasifu Ngeleja, Malima

    kazi ni kujbu hoja suala ni kutekeleza mapendekezo ya kamati ya Bomani,.. mbona hapo sioni jipya walilofanya hadi PM amimine sifa...
  18. N

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    MJJ, je kuna plan B ya kutengeneza nakala zaidi ili wale tuliozikosa tupate. tunataka kutuma hela tunakutana na maneno; number of copies remaining 00 tupe utaratibu!!
Back
Top Bottom