Search results

  1. Mkanya

    WOW!! TTCL they made it

    Namuunga mkono thinkpad 100% Ukiangalia kwa umakini ni hivi Zantel 10GB ni Tsh 270,000/= yaani hiyo ni 27sh kwa 1MB alafu speed ni kubwa kuliko ya mitandao yoote iliyo TZ yaani vodacom, TTCL, Sasatel, Zain, tiGO, Tritel, BOL hili halina ubishi. Kingine kuhusu 3G kuwa expensive duniani...
  2. Mkanya

    High speed internet

    aaah hili sio jibu hauna point ndio maana umeleta brah brah Uwe unaandika kitu kama unazo supportive data au docs una sasa unashindwa kaswali kadogo huyooooo shame on you!!! aibu mtu mzima huyooo
  3. Mkanya

    Tanzania E-Map

    Labda usubiri mwaka 2020 au 2030 nadhani hapo Tanzania Map with some street and region zitakuwa digitalized . Lakini kwa sasa sidhani,Siamini hata wazo hilo lipo kwenye tume ya sayansi na technology.
  4. Mkanya

    Ndege ya ATCL yapata hitilafu angani!!

    Mnakumbuka zile ndege zetu za zamani nadhani ilikuwa ni Kirimanjaro na Serengeti nakumbuka kitu kama hicho, nasikia iliuzwa mojawapo ndio wakanunua hivyo sijui ni hicho kindege kibovu CASH wakati ndege huwa hazinunuliwi CASH ile ndege iliyohuzwa na mafisadi mpaka leo inapiga kazi nchi za nje...
  5. Mkanya

    High speed internet

    Nina jamaa yangu mmoja anafanya kazi Vodacom yeye ndio aliyenishauri nitumie Zantel hilo halina ubishi kama hauamini nunua CDMA modem yao kisha unganisha computer idadi minumum 25 zote ziwe active download and upload hapo ndio utagundua nini hawa jamaa wanafanya wako vizuri sana NB...
  6. Mkanya

    Ushauri: Nataka nibadili rangi ya gari

    Hakuana haja ya kubadilisha ilo gari litakuwa baya sana, Rangi original imepigwa na mjapani sasa nyinyi mmeona haifai haya nendeni kwa wachina mtaniambia kama kagari hakajaja na manundu nundu kwenye body zima. Kama mkeo ana hekima ya kukuelewa mueleweshe lkn kama ni kimeo(mtata , Asikii la...
  7. Mkanya

    sheikh rashid athibitisha SOKOINE KACHUKULIWA MSUKULE

    Kijana una Hekma kama Nyerere!
  8. Mkanya

    Tanzania ya JK na Kodi ya Watanzania

    Kwa hisani ya Michuzi blog.
  9. Mkanya

    Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

    Jamani mimi nimesema ni mgeni kwenye Post kama hizi za masiasaaa!!!! hauelewi?
  10. Mkanya

    Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

    Nipeni Muongozo,
  11. Mkanya

    Dk Manyaunyau ajisalimisha kwa Yesu

    Wengi tu watajisalimisha..... bado maana wengine wanadai kuwa hawawezi kuelewa
  12. Mkanya

    Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

    Mimi binafsi nimekosa muongozo maana humu mimi ni mgeni, Yani nimesoma haya maelezo humu mpaka nahisi kudata maana sielewi naona manyota-nyota, Nipeni muongozo jamani hii hali ni mbaya sio nzuri kabisa.
  13. Mkanya

    UDSM-College of Engineering inaomba msaada

    Haya ni matokeo ya kile tulicho Panda wengine wanazidi kusonga mbele sisi tunarudi nyuma, Na hii Govn ya JK inatuandaa kuwa watumwa wa EAC kama hamuamini ngoja mtaniambia. Watoto wetu wameeandaliwa kuwa watu kuanzia Darasa la kwanza mpaka chuo, Mfano kama elimu sasa hivi ya shule ya...
  14. Mkanya

    Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

    Created the world's largest and most valuable personal computer company; (Michael Dell, Dell Computers) Co-founded the world's most successful search engine; (Sergy Brin, Google) Head the world's largest software company; (Steve Ballmer, Microsoft) Co-founded and head the world's second...
  15. Mkanya

    Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

    U can think about the world today. Look at who most blesses the Jews and who most curses them, and you decide whether the verse in Genesis has validity. It is the United States that has, since its inception, most blessed the Jews and that does so almost alone today – in its support of...
  16. Mkanya

    Dk Manyaunyau ajisalimisha kwa Yesu

    Hii khabari ni njema saaana, Jamaa ametoka kwa shetwani amemfuata Mungu wa kweli,
  17. Mkanya

    Hoja nzito kuhusu tsunami

    What about this? Hapa inakuwaje mpaka mafuriko yanaingia............... humo ndani hapa mnatuambia nini sasa. haya hapa mbona mbona hakuzuia haya maji eeeeh sindio mkisali huwa mnaelekea hapo ambapo ni mahali patakatifu kwenu?
  18. Mkanya

    Waisrael Kulikoni jamani?

    Mambo mengine hayawezekani labda hiki kizazi kife kije kingine maana sumu ya roho mbaya ilisha enea maeneo yooote.
  19. Mkanya

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Wewe inakuuma nini watu kama madhara walisha pata raha gani watu waliyo nayo hili la DECI ndio umeona , Je madawa feki tunayoletewa na watendaji wa serikali wanaruhusu yapite hauoni ila DECI ndio umeona au umetumwa. Ruhusu Ubongo wako ufikilie kwanini mpaka sasa tren ni mbovu na haifahi hata...
  20. Mkanya

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Huu nauita upeo mdogo wa kufikiri, hao DECI ninani alisha walalamikia? Tatizo wabongo mnapenda kukurupuka wanachama wenyewe hawasemi pesa zao ,Unakuta jimtu linatokwa na povu DECI ,DECI sasa nyinyi imewafanya nini pesa hiyo ni yako? Unawashwanini muwe mnajitizama, Pesa ya EPA mbona imeliwa na...
Back
Top Bottom