Search results

  1. K

    msaada wa computer KUHUSU INTERNATE

    da nashukuru sana mansakankanmusa kwa msaada ulio nipa nashukuru sana kwa sasa naweza kutumia internet kwa maelekezo ulio nipa imekubali kufunguka thanks
  2. K

    msaada wa computer KUHUSU INTERNATE

    Poa wakubwa nimewapa kwamba inaitwa internet natumia cable
  3. K

    msaada wa computer KUHUSU INTERNATE

    Yaani nilifungua computer yangu kwa ajili ya kufungua internate ikaniandikia (local area connection) this connection has limited or no connectivity . You might not be able to access the internate or some network resources. Alafu ikaniambia for more information , click this massage. Alafu nika...
  4. K

    Msaada wa computer

    Jamani naomba msaada wa kutaka kujua kwa nini computer yang inapenda kustaki stak nimkwa ajiri gani jamani?
  5. K

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    naomba msaada kudownload video katika youtube nitafanya ili niweze kudownload video jamani naombeni msaada wenu jamani
  6. K

    Naomba msaada wa kuunganisha internet aktika simu ya mchina nifanyeje?

    Nimefungua internet katika simu ya kichina lakini inakataa inaandika secure sijui nifanyeje jamani naimbeni msaada wenu wa kufungua simu ya kichina internet natumia laini ya tigo na ya voda
  7. K

    Jamani naomba msaaa wa kuunganisha simu na computer

    Jamani naomba msaada wa kuunga nisha computer yangu na simu aina ya nokia 6300, yaani niingize bando katika sim yangu alafu nitumie katika computer kwa ajili ya internate nitafanyaje jamani
  8. K

    Jamani naomba msaaa wa kuunganisha simu na computer

    Naombeni msaada wa kuunganisha simu yangu na computer, sim yangu ni nokia 6300.nataka kutumia kwa ajiri ya kutumia internate, yaani naingiza bando katika simu na kuweza kuunga nisha kwenye computer, kwahiyo nitafanyaje?
  9. K

    Meli ya MV Skagit yazama

    meli hiyonikweli imezama au ni bra bra maanake watu hata hawa eleweki tuambie basi tujue
Back
Top Bottom