Search results

  1. mama kiluwasha

    Habari njema kwa Watanzania wote wenye akili timamu

    Eti watanzania wenye akili timamu.. nmeipenda iyo
  2. mama kiluwasha

    Nando wa BBA mbioni kutoa kitabu chake

    Hajielewi kama vile..
  3. mama kiluwasha

    Diamond awajibu Team Wema

    Wema kila mtu hapa bongo anajua Daimond ni mtu wako sio lazima utumie nguvu kubwa kulithibitisha hilo, wasanii wote wana wapenzi wao ushawahi kuona wamepanda nao kwenye hayo mafiesta kukata viuno? Mwanamke stara, kaa tulia home au fanya shughuli zako mwache mzee afanye mambo yake, sasa wewe...
  4. mama kiluwasha

    Yametimia: Shilole kiuno ''Shishi Baby'' ampa kibuti Nuhu Mziwanda

    Akati anajichora tatoo hakuwaza yote hayo, wanawake wenyew wa mjini mtu unajitoa ufahamu kujichora tatoo.. kazi atakua nayo
  5. mama kiluwasha

    Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

    Mbona kama siye! Au macho yangu?
  6. mama kiluwasha

    Baby Madaha, Shilole "WATIFUANA"

    Umeona eeh!
  7. mama kiluwasha

    Baby Madaha, Shilole "WATIFUANA"

    Wote hawajielewi
  8. mama kiluwasha

    Nafasi za kazi NBC

    February???
  9. mama kiluwasha

    Baada ya Aunt Ezekiel kuwa mtupu, Wema huyo sasa, mwenye macho aone

    Jumani!!! Tunaelekea wap namna hii...
  10. mama kiluwasha

    Hivi yule anayelia kwenye tangazo la "Wamekataaa" anazungumza nini?

    Hapana!! Kulichukia tangazo kunaeza kukupelekea kuichukia product or service...
  11. mama kiluwasha

    Miss Tanzania 2012

    Sasa kaendaa vp akati miss tz bado? Mshindi c ndio hua anaenda kuwakilisha.. Nimevurugwa kidogo hapi
  12. mama kiluwasha

    Hemedi PHD ajivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa Tanzania 32 tena bila....

    Mi kanichosha kwenye interview yake kwenye take one ya clouds tv ameulizwa kuhusu kuoa anasema atafanya audition ya kutafuta mke.. Mke anatafutwa kwa kufanya audition jamani?? Hivi mzima kweli yule?? Seriously nlizima tv kabisa coz upuuz aliokua anaongea aibu nlikua naiona mimi..
Back
Top Bottom