Search results

  1. E

    Nyumba ya kupanga Ubungo, External, Kawe, Makonde, Sinza, Kijitonyama, Mwene

    Natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba 2 (1 master) vya kulala, sebule na jiko katika maeneo niliyoyataja au jirani na maeneo hayo.
  2. E

    Nyumba inapangishwa, Ipo Ubungo nyuma ya stand ya mkoa.

    Ni mbali kidogo na kale kamto. kama ni mwenyeji wa maeneo hayo unapotoka ubungo darajani (kituo cha mwenge). ukiwa unaelekea ubungo shule ya msingi, nyumba ipo pale unapomaliza ukuta wa stend ya mkoa upande wa kushoto. kwa hiyo kuna kaumbali kidogo kufikia kwenye mto unaouhofia....
  3. E

    Nyumba inapangishwa, Ipo Ubungo nyuma ya stand ya mkoa.

    Hahahaaaa, ukuta hauwezi kuiangukia sababu nyumba iko mbali kidogo na ukuta...
  4. E

    Nyumba inapangishwa, Ipo Ubungo nyuma ya stand ya mkoa.

    Nyumba ipo ndani ya geti ina vyumba vya kulala viwili, kimoja kati ya hivi ni master, sebule, jiko na choo cha jumuiya. Bei yake ni Tsh. 250,000/= kwa mwezi. Mpangaji anatakiwa kulipa kodi ya mwaka mmoja kabla ya kuhamia. kwa mawasiliano piga 0714480522 au 0752525730.
  5. E

    Nafasi za kazi Rural Energy Agency (REA)

    Mtoa taarifa alinidokeza kuna kazi inayohusiana na "field" yangu (IT), sijajua kama wametangaza na "field" zingine. Laba kama kuna mtu ana taarifa zaidi atujuze.
  6. E

    Nafasi za kazi Rural Energy Agency (REA)

    Kuna mtu amenipa taarifa kuna nafasi za kazi zimetangazwa Rural Energy Agency (REA) hivi karibuni. kwa bahati mbaya hakumbuki hata gazeti ni la lini. nimejaribu kuangalia kwenye "website" ya REA kwa bahati mbaya pia hakuna taarifa zozote za kazi. Naomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa kuhusiana...
  7. E

    Pamoja na uzuri wake, Maumbile ya mpenzi wangu yananichosha mwili na roho!

    If U dont lyk it, leave her... lakini huo sio ugonjwa ni maumbile tu.. kwa msaada cheki hii picha ya aina mbalimbali za K...
  8. E

    UPDATE nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF)

    Duh, Ni siku kidogo lakini ngoja tuendelee kusubiri.
  9. E

    UPDATE nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF)

    Wadau mwenye update za nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF) atujuze basi.deadline ilikua 17th August, 2012 16:00hrs
Back
Top Bottom