Search results

  1. O

    Msaada: NAOMBA KUJUA KUHUSU WANAWAKE WA KINGONI

    umeona ee, afadhali mmeshitukia mapema ndugu zangu
  2. O

    why it is hard for me to forget the man i loved most?

    asante kwa ushauri wako nitajitahid kuzingatia, ndio ni mwanaume wangu wa kwanza na sijawahi kuwa na mwingine zaidi yake.
  3. O

    why it is hard for me to forget the man i loved most?

    asante kwa ushauri wako, nitazingatia sala, mungua kubariki sana
  4. O

    why it is hard for me to forget the man i loved most?

    habari zenu wanajf... niko kwenye wakati mgumu sana sasa, najaribu kila hali niweze kumsahau mwanaume ninayempenda ambaye naweza kusema uwezo wa kuwa naye tena haupo kutokana na migogoro inayoendelea kwa mda mrefu sasa kati yetu tangu last year in July. wadada na wakaka hebu fungukeni huwa...
  5. O

    naomba ushauri juu ya haya...

    afadahali umesema na hii tabia siipendi sana na wanaume baadhi yao wanaipenda sana, kama mtu kakukosea si umwambie? kununa si suluhisho
  6. O

    Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo kuhusu mahusiano

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, natafuta rafiki awe wa kike au wa kiume wa kubadilishana naye mawazo kuhusu mahusiano, Kifupi nimewahi kuwa na boyfriend mmoja tu lakini kwa sasa hatuelewani so i need company ya mtu yeyote aliye tayari kunifundisha mambo haya ya mahusiano hasa jinsi ya...
  7. O

    natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat!

    Muachie Mungu yeye ndiye anajua who will be your right partner
  8. O

    Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    ama kweli inaonyesha kuwa wewe si mtu mzuri huwezi ukajisifu kwa kupitia jamii forum maana hayo ni makosa makubwa kwa kufanya uzinzi maana kuwa kama kweli ulikuwa na mapenzi ya dhati kwa mkeo usingeweza kufanya hivyo. Pia kama ulikuwa unamuogopa Mungu ungeshinda majaribu ila ulikuwa unabeep kwa...
  9. O

    jamani lakini pamoja na hayo yote lakini serikali yetu ni sikivu kwa asilimia 100

    Tunawapongeza viongozi wetu wote kuanzia Gorofani hadi sakafuni. Kwa kweli maisha ya watanzania yanazidi kushamili kila baada ya sekundeeeee!, tunampongeza mjomba wetu. wembe ni ule ule, kama mwaka jana. jamanitusipunguze spidi! maisha bora kwa kila man! imetekelezwa kwa kweli. tchaoooooooo!
  10. O

    Naomba mnijuze hili, Uvimbe kwenye Cervix unatokana na nini?

    Haihusiani na kwa mwezi ninakutana na mashine ngapi? hili ni tatizo na linahitaji ufumbuzi, ndio maana nimeuliza kwa wale wanaolifahamu wanijuze coz sidhani kama linasababishwa na hizo mashine
  11. O

    Naomba mnijuze hili, Uvimbe kwenye Cervix unatokana na nini?

    niko serious na sio utani nahitaj kufahamu unasababishwa na nini na nini matibabu yake
  12. O

    Naomba mnijuze hili, Uvimbe kwenye Cervix unatokana na nini?

    Uvimbe kwenye Cervix unasababishwa na nini? Na nini matibabu yake? Madhara yake ni nini? Nini kifanyike ili uvimbe utoke? Kwa aliyewahi kukutwa na ugonjwa huu au kusikia unasababishwa na nini na matibabu yake ni yapi naomaba anijuze. Asante, nawasilisha
  13. O

    Vitabu tu au kuna vingine? ushauri plzzz

    Naona mnadhani mimi ni mtoto wa sekondari la mm ni graduant tena nina mwaka niko hom tangu nimalize degree yangu ya kwanza. tatizo nililonalo ni kuwa alwayz mama ni mkali anadhani sisi bado ni watoto wadogo, but mm ni mkubwa na huwa najifikiria hv huyo n mchumba atashuka tuu kutoka hewan bila...
  14. O

    Vitabu tu au kuna vingine? ushauri plzzz

    Habari wanajf Mimi niko na tatizo , mpenzi wangu tuliyeachana hivi karibuni ameenda kudai vitabu hom, sijui ana maana gani na malengo gani kwangu coz si heshima mtu kwenda kichwakichwa kwa wazazi wa x-gal wako kujieleza ili iweje? hapa nilipo nimechanganyikiwa coz mazingira ninayoishi it is not...
  15. O

    Nimeamua nimsahau

    Asante lakini nimewaambia hivyo coz kny ile thread wengi walihoji kama alionja K yangu.
  16. O

    Nimeamua nimsahau

    Habari wanaJF, Nilishawahi kutuma post siku za nyuma nikeleza jinsi gani mpenzi wangu aliamua kuniacha baada ya kumtumia sms na kumuuliza maswali kadhaa ambayo ndiyo yaliyosababisha tugombane na kuvunja uhusiano wetu. Nashukuru kwa ushauri mlionipa umenisaidia sana naamini haukuwa Mpango wa...
  17. O

    Ushauri Tafadhari!

    najaribu lakini nashindwa, ndio maana nimeamua kuomba ushauri
  18. O

    Ushauri Tafadhari!

    alipaswa aseme nimpe muda wa kujibu hiyo sms, pia mm na yy tuko kyk mikoa tofauti na ndio maana nilimuuliza thru sms. mawazo ya kuwa labda nina mtu mwingine hapana, sina.
  19. O

    Ushauri Tafadhari!

    Habari wana jf, Mimi nina umri wa miaka 25, tatizo langu ni kuwa nilikuwa na uhusiano na Kijana mmoja hivi na yeye ni member humu jf, tulikutana tukiwa chuo na tumedumu katika uhusiano huo kwa takribani mwaka mmoja na miezi kumi hivi, nakumbuka alianza kunifuatilia tangu nikiwa first year na...
Back
Top Bottom