Search results

  1. K

    Vodacom waache wizi

    Vodacom wameanza wizi wa kuaminiwa, make ni juzi tu wamenibadilishia usajili wa lini yangu badala ya majina nliyo sajilia nilikuta JH na haikupita muda pesa iliyokuwa M-pesa sikuikuta. pili, awali Cheka time ya 400 ilikuwa ni dk30 na sms 100, wakpunguza mpaka dk15 na sms 100 kwa madai kuwa...
  2. K

    Changia mawazo yako

    Wahenga walinena, "akili ni nywele, kila mtu ana zake" nimekuwa nikisoma somo la History takriban miaka sita (yaani tangu 4m one mpaka 4m6) kuna nadharia mbalimbali nilizokutana nazo zilizo wekwa nawatu kutokana na uono/mtazamo wao. kama mtu ninaye heshimu hisia za mtu niliheshimu hisia zao na...
  3. K

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mi najua watanzania mnajua kuongea sana, kwa hilo tu hamjambo!!!!! mi niko kikazi si kimalumbano.
  4. K

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari za wakati huu mpenzi msomaji wa makala hii. Bila shaka makala au tangazo hili lina kuhusu, kama si direct basi hata indirect. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa mbaya miongoni mwa Magonjwa mabaya. Unasumbua, unanyima raha, unazorotesha afya ya mtu, unapunguza idadi ya vyakula muhimu kwa...
  5. K

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    au ndo maana Tanzania hatuondoki kwenye umaskini
  6. K

    Sheikh Ponda: Haya ndiyo madai Muhimu ya Waislam...

    Hapa nisawa na uchukue mpunga ulushe kenye kundi la kuku, watushambuliaje! nimeptia comment za watu mbalimbali wote kila mtu anaponda na kutukana kwa kadri ya uwezo. SWALI: je yanakuhusu? MAONI: kama yanakuhusu toa mchango wa maana. over!!!!!!!!!!!!!!
  7. K

    Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

    Mie demu wangu wakwanza nlikuwepo nae nikiwa cjui hata kupiga mashine. sasa sikumoja nikaomba na nikapewa, mi nlidhani kupewa utani kumbe utaalam. ilikuwaje sasa. nilishindwa kucheza na dogo akavaa na tukakimbiana kwa aibu. ila nlipokutana nae mara ya pili alikubali mziki kwani nlikuwa nshapata...
  8. K

    Napenda chadema

    kama kweli wewe ni mpenda maendeleo lazima ulipende hili chama kubwa la Mabadiliko. pamoja nawe daima CHADEMA
Back
Top Bottom