Search results

  1. M

    Katiba mpya isipopatikana 2014; Nini cha kufanya?

    He! Mkuu una moyo
  2. M

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Mkuu Invisible, kwa hii kasumba ya "huu ni upepo utapita" nadhani serikali hii sikivu, itasikiliza tu na yatapita. Kwani mpaka sasa tumeona mengi ya ushahidi wa wazi wa akina Chenge lakini serikali ni sikivu tu, inasikiliza na yanapita.
  3. M

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Ana hoja nzuri, ila tatizo sijui kama ana nia ya dhati, maana kwa sasa simwamini sana huy jamaa
  4. M

    Serikali yawatimua kazi Madatari na Manesi wastaafu wote nchini

    Mkuu kama hata kuandika hamjui, hiyo miili yetu si ndiyo mtatumaliza kabisa.
  5. M

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Mkuu kwani nyie hamna busara zenu za kutambua mema na mabaya mpaka sheikh awaambie?
  6. M

    Majaji wa Tanzania hawajui kiingereza - Tundu Lissu

    Hoja ya Lissu imejaa siasa bila uhalisia. Atuambie kama yeye anajua hicho kiingereza. Kusema sheria ifundishwe kwa kiswahili ni vichekesho kwani mfumo unaofuatwa ni wa COMMON LAW. Hivyo itakuwa ngumu kama Tanzania itatumia kiswahili, ina maana hatuwezi hata kupeleka wanafunzi wetu hata katika...
  7. M

    Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

    Mkuu uko sahihi CHADEMA walikojolea Quran kule Mbagala. CDM walichoma makanisa na Sheikh wao Ponda na Farid wamekamatwa.
  8. M

    Maofisa wa JWTZ kuhusishwa na fedha za Uswisi ni pigo kubwa sana kwa nchi

    Anachonikera huyu ZZK anajua sana kunyooshea watu vidole. Huyu jamaa mwenyewe maisha anayoishi na magari anayotembelea hayaendani na kipato chake. Amejaa usanii zaidi na kutaka sifa
  9. M

    Pole sana Mama Shupavu Anna Killango

    Mnafiki tu, Kiwira ametoa rushwa mpaka basi lakini bado wakashindwa. Mbeya hawataki hata kumsikia huyu mama. Aliponea chupu chupu kupopolewa mawe
  10. M

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    Huyu akithubutu atageuka kuwa mwanamke
  11. M

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    Mkuu mbona nasikia wengine wakisoma wanageuka kuwa mbuzi?
  12. M

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    Hapo kwenye red ndo kwa kuwa makini. Hii inaweza ikawa janja ya nyani, wanajifanya kumfukuza jeshi, kumbe wamempika na sasa ameiva. Hivyo njia rahisi ni kujifanya ana kichaa na kufukuzwa.
  13. M

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Hujaeleweka mkuu. Issue siyo kufanyia kazi BOT, je wana sifa? Kama wana sifa mie sioni tatizo wana haki kama mtu mwingine yeyote.
  14. M

    Kauli ya Dk.Slaa kuhusu malalamiko ya Rais Kikwete ya kukithiri kwa rushwa ndani ya CCM

    Inasikitisha kuona Rais na Mwenyekiti wa CCM eti anashangaa taasisi za CCM kuandamwa na rushwa. Rais analalamika na kuwaomba kuacha rushwa badala ya kuchukua hatua. Kweli inatisha na kusikitisha
  15. M

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    Nashukuru kwa updates mkuu japo wengine wanachukulia masihara taarifa hii
Back
Top Bottom